Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

MWANZA MWANZA: Bidhaa ya asili

Grab your facial kit now, helps with:
1. Acne
2. Dark spots and blemishes
3. Hyperpigmentation due to chemical creams
4. Skin tags
5. Wrinkles

Jipatie facial kit yako sasa, inasaidia na:
1. Chunusi
2. Makovu
3. Alama za kuungua na mafuta makali au jua.
4. Visunzua
5. Makunyanzi

Wasiliana na Mimi Instagram @online_naturalcosmetics kujipatia yako sasa kwa shilingi 35000, hutojutia mafuta ni mazuri sana
 
 
Hii nitaifanya!
 

 
Hili swali nimeulizwa na Mwenzetu mmoja ambaye baada ya kukosa ajira rasmi ameamua ajikite kwenye ujasiria mali.

Ndugu huyu kapata msaada wa Cash hiyo na ameona aifanyie kazi ikiwezekana kazi hiyo iwe ndio msingi wa maisha yake.

Pakulala anapo.

Karibuni kwa ushauri constructive Wadau.
 
Nenda jukwaa la biashara kuna ushauri huko na thread za kile anachotaka.
 
Mi ushauri wangu kwanza ajue mtaji wake ni minus buku 20 za kitambulisho!
Mengine jaza.
 
Usiwe Na Haraka Soma Huu Uzi Taratibu Na Fikiria Kama Kuna Uwezekano Kulingana Na Mazingira Unayoishi Na Mawazo Utakayopata Hapa

 
mwambie kama itampendeza aje hapa mabibo soko la ndizi tupige ishu za udalali wa ndizi.
 
sasa si ndo ujibadilishe kuwa boss?? yaan badala ya kumkusanyia boss dhahabu sasa uwe unajikusanyia mwenyewe
 
Mwenye kuhitaji kununua samaki za ziwa Victoria kwa bei za jumla kutoka Mwanza kama Uko Dar, Moro na Dodoma tayari mizigo nasambaza na ipo masokoni katika hiyo mikoa mitatu. Na aliyoko mikoa mingine

Cont: 0787921515
0763322534

Wale wa Dar: Butcher lipo Kinondoni soko kuu katika milango ya Msikiti wa Mtambani barabara ya kuingia soko kuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…