Ndugu wasomaji,
Naomba mawaidha yenu katika maswala yafuatayo bila kujali kama yamekukuta, yamekuhusisha au laa:
Ahsanteni.
SteveD.
SteveD,
Nitajaribu kuchangia mada hii japo sina uhakika kama nitachangia kama ilivyotakiwa, so bare with me and correct if i might be wrong please.
[*]--Kama wewe ni Mwanausalama, unajisikiaje pale ulipo amua kumpiga mtu risasi na kufa ukiwa vitani au ukiwa katika doria?
Kwa wanausalama, Wanajeshi wakiwa vitani nafikiri kwa wao kuua it's okay na nafikiri is very rare to find a person regrecting after the action endapo tu yule aliyemuua atakuwa ni adui, na kwamba huyo adui alikuwa na nafasi na nyenzo vya kuua endapo asingewahiwa kuuwawa. Mtu anaweza jutia pale tu inapotokea "Mistakes of fact". kwamba alifikiri jamaa ni adui na kumbe ni mwenzake na akajikuta amemshoot na kumuua.
Upande wa Police Officers; Of course they are trained to use deadly force, but what I know ni kwamba wanatakiwa kutumia hizo deadly force (eg shoot to kill) as a last resort na sio katika kila kosa/issue. Mfano, they can shoot and kill endapo mshitakiwa "Note, mshtakiwa and not mtuhumiwa" wa makosa kama kubaka na mauaji alikuwa anakimbia kukamatwa ama alikuwa na silaha ambayo bila kuuwawa basi angesababisha mauaji kwa Askari huyo (self defence) ama kwa mtu mwingine ambaye this askari has the duty to care (eg mwananchi, VIP etc), na kwamba mpaka askari akaamua kushoot and kill this person, njia zote za kuminimize hiyo threat zimeshindikana hence the use of firearm as a last resort. All in all, justification needed.
Kama wewe ni Raia, unajisikiaje pale ulipo amua kumuua mtu ukijihami baada ya kuvamiwa nyumbani kwako au katika ugomvi?
Self defence, Ninafikiri its okay and no crime on this endapo umevamiwa nyumbani na waliokuvamia wana silaha or they made you to belive that wana silaha (eg pointing a toy pistol on you).
Kwa suala la ugomvi kwa kweli jiandae tu kuface Manslaughter.
[*]--Kama wewe ni Daktari, unajisikiaje pale ulipo amua kukatisha matibabu ya mgonjwa mahututi ili bora afe?
Kwa madaktari if there is a concent ya mgonjwa, nafikiri kuna sheria inaruhusu na huyu Daktari hatakuwa na kosa. Na sidhani kama itamuhunt kwani mpaka mgonjwa kuamua kuchagua kufa kuliko kuishi, na Daktari ama jopo la madaktari kuamua kusitisha maisha ya mgonjwa huyo, then inawezekana hali ilikuwa ni mbaya sana and that there was no way out kwamba mgonjwa huyu angekuja kupona, na kwamba its better for him/her to rest is better kuliko mateso aliyokuwa akiyapata.
[*]--Je, unajisikiaje pale ulipo ua mtu bila kukusudia - mfano katika ajali?
Well, inaumiza sana na inaweza kukuhunt kwa muda mrefu sana and if you are not strong unaweza fanya maamuzi ya ajabu pia. Face it, be strong, though.................. Sheria itaangaliwa how it happen then unaweza hukumiwa kuua kizembe (causibg death by dangerous driving) ama kwa ajali ya kawaida (i think they call it fatal accident), most of the time wanalipa fine. Inategemea na kesi na ushahidi wa kesi husika. Pia waweza kuwa charged na mudred kama utakuwa umeua kwa kukusudia kwa kutumia chombo cha usafiri, in this case, itahama from traffic case na itakuwa criminal case.
[*]--Kama wewe ni Mwenye mamraka kisheria, unajisikiaje pale ulipotoa hukumu ya kifo?
Mh, difficult one. Ila sidhani kama mtu atajisikia vibaya sana coz mpaka mtu kuhukumiwa adhabu ya kifo, that means hata yeye aliyoyatenda sio madogo. It's even more than what he will be facing. Haiwezi ku hunt sana, ni sheria inasema afanyiwe hivyo. Itakuwa kosa la mauaji (murder) if it will be proved kwamba huyu mwenye kutekeleza sheria (mnyongaji) atafanya hivyo kwa personal reasons/nia ovu/motives, let say he/she was supposed to go on retirement, he/she decided to postipone his/her retirement ili kutimiza lengo lake (kumnyonga 'y')
Thats all form my side.
Lizy