ukweli utadhihirika
Member
- Jan 12, 2012
- 20
- 0
Si lazima kuongeza muda wa mkataba wako ukimalizika
anawahi uchaguzi wa ndani ccm nini?? Naanza kupata hisia za "ni zamu ya wanawake kuongoza nchi" kama ilivyokuwa zamu ya "wanawake kuongoza bunge"
Kqshindwa kucope na speed ya BabKi moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko UN. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform
Kama nafasi ya kuendelea ilikuwepo halafu yeye anatemeshwa mzigo, halafu Boss wake anadai anataka team ya kazi. Napata wasiwasi kidogo. Hapo huenda mama ametunanga na tumepoteza nafasi muhimu kwa future ya bongo yetu. Tumepewa na tumeshindwa kuitumia.
"We have heard that she applied for an extension of her contract," said one of the sources in an email communication.* "But that is likely not going to happen as sources close to her say she is planning to return home."
"Dr Migiro is said to be in the process or organising how one of her children, who is enrolled in school in New York, can complete her studies without interruption". Source: Hapo juu.Nakuunga mkono hili la ubalozi ila hilo la mtoto kumaliza shule sina uhakika nalo!
Ye2 macho bout urais migiro!
Mkuu siangalii hicho peke yake bali niliweka kama nyongeza baada ya kusoma hiki:"Dr Migiro is said to be in the process or organising how one of her children, who is enrolled in school in New York, can complete her studies without interruption". Kuna usumbufu katika hili hasa kama system za masomo ama Programme na Course anazochukua zinatofautiana sana na hapa kwetu.Yaani wewe unachoangalia kigezo cha yeye kuwa balozi UN ni mtoto wake amalize shule?.......Only in Tanzania.
ameponzwa na sisi kuwa omba omba. nafikiri nchi ilikuwa ikimtuma awapigie chapuo. dada yetu wewe upo huko tusaidie ule msaada tulio uomba ukubaliwe. UN wakaona huyu anatumia cheo chake kujinufaisha yeye na nchi yake mbona wakati ya vita ya libya hajasema neno? lakini mipaka ya nchi yake baharini anajifanya kuongea sana. tumpige chini huyu hatufai. undia zengwe ya wanataka watu wenye ushirikiano. tunashukuru kwa ufanyakazi wako ulio tukuka tunakuomba urudi kwenu haraka na wanao wanao suma huko rudi nao.
UN kama chombo kinachotumiwa na US kwa sasa kinaondoa vikwazo ktk safu yake ya uongozi ambapo kinalazimishwa kupitisha VITA kubwa nyingine ambayo US inataka ipitishwe na UN....by the way Ban kimoon himselfn he has proved failure kwa kulazimishwa kuunga mkono vita ya LIBYA so yeye km kiongozi mkuu wa UN kawafanyia nini wa Africa zaidi ya kutuongezea machungu na pia kuzidi kutugawa wa wa Africa mf SUDAN imemegeka through UN...
Kqshindwa kucope na speed ya BabKi moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko UN. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform
Mkuu hawa wanawake wasomi pasua kichwa sana..
Angalia mheshimiwa nanihiii anavyokosa amani kifamilia..
Hivi Rose Migiro ana Mume ?.
Mkuu hawa wanawake wasomi pasua kichwa sana..
Angalia mheshimiwa nanihiii anavyokosa amani kifamilia..
Taarifa toka chanzo cha uhakika Prof Migiro alishaachana na Dr Asha Rose Migiro.
kama huyu alikuwa kikwazo basi US ina vikwazo vingi sanaUN kama chombo kinachotumiwa na US kwa sasa kinaondoa vikwazo ktk safu yake ya uongozi ambapo kinalazimishwa kupitisha VITA kubwa nyingine ambayo US inataka ipitishwe na UN....by the way Ban kimoon himselfn he has proved failure kwa kulazimishwa kuunga mkono vita ya LIBYA so yeye km kiongozi mkuu wa UN kawafanyia nini wa Africa zaidi ya kutuongezea machungu na pia kuzidi kutugawa wa wa Africa mf SUDAN imemegeka through UN...