Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro ni mjinga kabisa. Watu wengi wanamdharau sana kwa sababu hatumii ubongo wake katika kuongoza, uti wa mgongo ulimtosha sana.
Yupo pale kama mzigo tu, JK anamtumia kama karani wake wa siasa za kisanii.
 
Tatizo la viongozi wengi wa CCM wanatanguliza kwanza maslahi ya chama chao,maslahi ya wananchi yanafuata baadae baada ya wao kupata.
 
Kwa sasa Migiro anajipanga tena kurudi bungeni kwa kishindo kupitia viti maalum vya wanawake.
Migiro ni Mzigo.

Zaidi ya hilo,huyo nae yuko kwenye karata nyingi za CCM watakao wania urais kupitia chama hicho.
 
Wabunge wenyewe wa ccm walishasema mawaziri wa jk ni mizigo, hata kinana analitambua hilo
 
Wasomi wetu ni wazuri wa kukariri ila ukija kwenye application ya elimu zao wanakuwa driven na siasa na hela. Hopeless interlectual.

Hapa sasa na wewe umeonyesha kuwa unaandika kingereza kwa kutumia mazoea tu ya unavyotamka. interlectual ni nini? Angalia vizuri kamusi yako.
 
Migiro is good as a teacher only not as a Minister nor any other Senior executive position. She does not have the charisma nor capacity as in decision making and leadership.

Nilijua mapungufu yake when I visited the US kabla hajatoka UN, wafanyakazi chini yake walikuwa wanalalamika na kujisikia aibu kwa jinsi mama alivyokuwa akifanya mambo yake.

Alificha mapungufu yake kwa kutengeneza makundi, halafu mambo yake ni last minute na mbaya zaidi hayana mshiko.

As a nation, we deserve the best. Rais ajae amng'oe kabisa kwenye madaraka yoyote, wako wanawake wenye uwezo zaidi yake.
 
Kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) wameipiga chini tarehe 30 April kuwa siyo siku ya kupiga kura ya maoni juu ya katiba inayopendekezwa,kunadhihirisha uwezo mdogo wa Bi.Migiro katika masuala ya uongozi,na sasa sishangai basi kwamba UN walimtema baada ya mhula mmoja tu;ni wazi hakuwa na uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Katibu Mkuu wa UN kama ilivyo sasa kwamba hana uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Rais Kikwete.

Ikiwa wazi kwa kila mtu kuwa isingewezekana refendum kufanyika tarehe 30 April, Migiro alijitokeza na kuanza kulumbana na maaskofu eti kura ya maoni lazima ifanyike kama ilivyopangwa!!!

Migiro na Pinda sahauni urais,mtaondoka na JK.

Huyu mama hana tofauti na Tibaijuka kwani elimu zao walishaziacha kule UDZIMU wakajiunga huku Lumumba kwa akina Mzee Tupa Tupa na Nauye kama WASAKATONGE kwa siasa za fitina na uongo mtupu. Watu walishapiga kelele kuwa kura ya maoni haiwezekani Aril 30 yeye anakomaa lazima ifanyike. Inaonyesha jinsi gani alivyo mama MIZIRO.
 
Wanaoomuo jembe na wanawake wa CCM wenzanke waliovuli rekodi ya kufanya mambo mabaya kwa lengo la kujipendekeza kwa mwanadamu.
 
Nilishamdharau muda kitu kilikuwa wazi kbsa lakini chenyewe kinakomaa ipo pale pale hivi huo u Dr alipataje km hâta jambo kama hili alishindwa kuliona au ndo kujitoa ufahamu kbsa

Ndg yangu PhD. za Kibongo zina Historia ya Kutisha...Msemakweli anazijua vizuri. Mtu ana PhD lakini ukifika wakati wa Kutoa Maamuzi usomi wake unatia Shaka. Wa namna Hii wapo wengi tu Kwenye Cabinet ya Kikwete.
 
Mungu ana mipango mizuri na nchi yetu,sema watu wanajitia upofu tu.KATIBA ime fail,ESCROW tumeibiwa,TRA wanapandisha mapato hovyo hovyo,ukiwa mkweli dawa za kulevya unakufa kifo cha ajabu,balali yu wapi?Mwangosi,Kibanda,EPA,RICHMOND,vijisenti MWENYEKITI uandishi wa KATIBA,Makinda spika,Sita hafai kweeeliii?.jamani tukae chini tutafakari.TUSALI NA TUOMBE,DHULUMA HAISHINDI HAKI DAIMA
 
Hii katiba itawasumbua sana Ma ccm, hapa ndipo uwezo wao wa kufikiri na kutenda utadhihirika, na imekaa vizuri kwa sababu ujinga wao unajionesha wakati tupo karibu kuchagua wabunge, kazi ni kwetu kuwajulisha kuwa hatufanani nao kwa kuwakataa kwenye sanduku la kura octoba. Ila kwa swala la katiba sijui kama itawezekana tena wakaombe msamaha kwenye kaburi la marehemu Dr. Mvungi na famimlia yake bila hivyo, watahangaika sana hawa wauaji.
 
Nilishamdharau muda kitu kilikuwa wazi kbsa lakini chenyewe kinakomaa ipo pale pale hivi huo u Dr alipataje km hâta jambo kama hili alishindwa kuliona au ndo kujitoa ufahamu kbsa

Kuna kitu amjaelewa ukiwa serikalini elimu yako unaiacha unachukua ya ccm, ukitoka serikalini unarudishiwa elimu yako kwa msimlaumu
 
Pamoja na kutokota kwenye siasa za humu Nchini hasa mambo ya KATIBA.

Ila huko UN tabia mbaya ya UHAWARA na mkuu wa kaya ndio hasa vimemponza.
 
Migiro ni zero kabisa! Pale hamna kitu na mwaka huu ndo mwisho wake!
 
Asha allifeli UN akarudi na afro lake
Miaka aliyokaa hakubadilika. Kapewa katiba huku jk akijuwa mama hana uwezo mbali ya mipasho.
Umempasha vyema huyo mama 'aliyetimuliwa' kazi UN na Ban Ki Moon.
 
Back
Top Bottom