enzi zangu
Member
- Jan 10, 2015
- 53
- 8
Sijui aliemteua akagombee huko ulaya alikuwa ni nani yake. maana Tanzania kwa kuteuana balaa (mkuu wa wilaya mufindi)
Tunaambiwa ya kwamba kwa miaka hiyo DR Rose alipata kuwa mwanafunzi wa mwalimu Prof Migiro wa pale Mlimani. Akawa ni mtu kichwa kweli kweli mbele ya wanafunzi wengine hadi kuweka 'rekodi' huko law.
Lakini mwisho wa siku ndipo akaweka rekodi nyingine kubwa zaidi ambayo haitokaa ivunjwe kwa vyo vyote vile; akachaguliwa kuwa 'Mama ya Wtoto' wa mwalimu wake huyo - Prof Migiro hadi kesho.
Acha umbea umejuaje hakumsaidia?kwani ulitegemea msaada uwe upi?Butiku aliwaambia hapo UDSM maadili hamna..degree za kupatia mahakamani,kujuanajuana na issue nyingine nani hajui.Umejuaje km hawakubadilishana kusaidia wake za wenzao?Mbona kila idara watu wameoa sana wanafunzi wao,na wengine wanaendelea kuwafaidi?Hapana, hii post sikuwahi kuisoma na ingawa ni muda mrefu sana umepita tangu iandikwe itabidi niipinge ili kuweka rekodi sahihi. Asha-Rose alifahamiana na Cleophas Migiro wakati Asha akiwa mwanafunzi wa Law na Cleophas akiwa ni Assistant Lecturer wa Chemistry. Wanafunzi wa Law walikuwa hawaingii darasa lolote la Chemistry wakati huo. Baadaye Cleophas akakwaa kuwa Head wa kwanza wa Department ya Chemical Engineering enzi za FoE na mambo mengine yaliyobaki sasa hivi ni historia. Asha-Rose Hakusaidiwa lolote na Cleophas Migiro katika kupasi masomo yake ya digrii ya sheria hapo UDSM
Ulichoandika ndio umbea kwa sababu unahisi kuwa alitumia waalimu wengine kumsaidia bila kuwa na ushahidi wowote. Hii tabia ya kuunda stori zisizoluwa na ushahidi na kuzishupalia siyo tabia ya kimaendeleo. Iwapo Mama Migiro angekuwa amesomea masomo yanayo-intersect na yake Cleophas, ningekuelewa; lakini masomo yao hayakuwa na intersection yoyote. Tuache tabia hizi za kutungatunga uongo; mwandishi niliyemkwoti hapo juu aliandika hivi "kuwa mwanafunzi wa mwalimu Prof Migiro"Acha umbea umejuaje hakumsaidia?kwani ulitegemea msaada uwe upi?Butiku aliwaambia hapo UDSM maadili hamna..degree za kupatia mahakamani,kujuanajuana na issue nyingine nani hajui.Umejuaje km hawakubadilishana kusaidia wake za wenzao?Mbona kila idara watu wameoa sana wanafunzi wao,na wengine wanaendelea kuwafaidi?
Pengine ni zaidi ya akili yako..au nikuongezee zaidi ..what if huyo mama alikuwa anawachanganya hao malecturer?Au hujaweza fikiria hilo?Pengine ujiulize km una hakika na uaminifu wake ktk ndoa hadi sasa?Ulichoandika ndio umbea kwa sababu unahisi kuwa alitumia waalimu wengine kumsaidia bila kuwa na ushahidi wowote. Hii tabia ya kuunda stori zisizoluwa na ushahidi na kuzishupalia siyo tabia ya kimaendeleo. Iwapo Mama Migiro angekuwa amesomea masomo yanayo-intersect na yake Cleophas, ningekuelewa; lakini masomo yao hayakuwa na intersection yoyote. Tuache tabia hizi za kutungatunga uongo; mwandishi niliyemkwoti hapo juu aliandika hivi "kuwa mwanafunzi wa mwalimu Prof Migiro" Asha hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Prof Migiro kwani Migiro alikuwa Profesa mwaka 1992/93 wakati akiwa Mkurugenzi wa IPI na wakati huo tayari Asharose naye alikuwa ni mwalimu wa hapo Kitivo cha sheria.
Pengine ni zaidi ya akili yako..au nikuongezee zaidi ..what if huyo mama alikuwa anawachanganya hao malecturer?Au hujaweza fikiria hilo?Pengine ujiulize km una hakika na uaminifu wake ktk ndoa hadi sasa?
Acha kuongeza yasikuwapo kwenye mjadala, swali ni kwamba je kweli Asha-Rose alikuwa mwanafunzi wa Prof Migiro? Asha kuwa na mabwana wengine au Migiro mkuwa na wanawake wengine siyo mada inayoongelewa hapa. Najua kuwa watu wenye tabia za kutoa thesis sisizokuwa na ushahidi halafu wakazishupulia kwa kujaribu kupindishapindisha maneno huwa hawana akili timamu; sitaki kuamini kuwa wewe ni mmoja wao.
kumbe naongea na bogus kabisa..huwezi hata keep track ya mazungumzo,utajua unaongea nini?NImekuongezea cha kufikiri ili uone possibility ya migiro kusaidiwa idara zote ...ila umeonyesh akumiss point kabisa...Nikiongezea nyingine nitapasua huo ubongo kwa dose kubwa...km umeshindwa nielezea imani yako kuhusu uaminifu wake ktk ndoa..Je unaweza tuambia unaamini nini Kilisabisha Rais kumpigia kifua hata pale aliposhindwa?Kwanini hakumpigia Tibaijuka kwani Tibaijuka kidogo aaliperform kuliko yeye.Acha kuongeza yasikuwapo kwenye mjadala, swali ni kwamba je kweli Asha-Rose alikuwa mwanafunzi wa Prof Migiro? Asha kuwa na mabwana wengine au Migiro mkuwa na wanawake wengine siyo mada inayoongelewa hapa. Najua kuwa watu wenye tabia za kutoa thesis sisizokuwa na ushahidi halafu wakazishupulia kwa kujaribu kupindishapindisha maneno huwa hawana akili timamu; sitaki kuamini kuwa wewe ni mmoja wao.
kumbe naongea na bogus kabisa..huwezi hata keep track ya mazungumzo,utajua unaongea nini?NImekuongezea cha kufikiri ili uone possibility ya migiro kusaidiwa idara zote ...ila umeonyesh akumiss point kabisa...Nikiongezea nyingine nitapasua huo ubongo kwa dose kubwa...km umeshindwa nielezea imani yako kuhusu uaminifu wake ktk ndoa..Je unaweza tuambia unaamini nini Kilisabisha Rais kumpigia kifua hata pale aliposhindwa?Kwanini hakumpigia Tibaijuka kwani Tibaijuka kidogo aaliperform kuliko yeye.
sijui nikuite toilet nini?paper,seat bowel au nini?Nani? Pale UDSM nani ahajui propaganda za kipuuzi pale palikuwa jikoni siku nyingii sana?Nani hajui pale degree za kimikakaati wamepewa wengi sana ,hata wengine ndio maraisi wanaotuzunguka?SHirvi na wengine unawaona wapo safi sana?Nini kimewakimbiza ktk nafasi na coverage walizokuwa wakipewa huku wakiitwa magwiji..?Pole sana.Hiyo logic yako sijui ni ya wapi itakuwa ya kitila mkumbo.Naona uazidi kujirushia kusikohusika kabisa, na mdiyo maana unajiamini kuwa unaongea an bogus huku ukiwa unamwaga pumba tupu. Ondoa tofauti zozote ziliziopo baina yako na Asha-Rose Migiro halafu unieleze uhusiano baina ya uaminifu wa Asha-Rose katika ndoa na yeye kuwa mwanafunzi wa Prof. Migiro hadi kuwa kichwa kweli kweli huko Law wakati akiwa mwanafunzi.Nadhani hujui kuwa wakati Migiro akiwa ni junior academic staff huko Faculty of Science, kule Faculty of Law kulikuwa na waalimu senior sana kama akina Prof Kanywanyi, Prof Mgongo Fimbo, Prof Shivji na wengineo ambao waalikuwa wanasimamia sana ufundshaji kwa sifa zake zilizofanya Faculty of Law ya UDSM kujulikana sana kitaaluma. Hiyo ni mwishoni mwa miaka ya sabini na mwanzoni mwa miaka ya themanini kabla chuo hakijaingiliwa na upuuzi mnaozunguza leo. Mtu kubaki UDSM kuwa TA ilikuwa ni kwa mbinde sana wakati huo, ni lazima awe ni kati ya the best two finalists darasani tena awe na GPA ya juu kwa kiwango fulani- First na Upper Second. Ukiongea mambo kwa merits na demerits zake nitakuelewa lakini unapotumia blanket statements ambazo huwezi kuzi-justfy inakuwa ni tatizo sana.
sijui nikuite toilet nini?paper,seat bowel au nini?Nani? Pale UDSM nani ahajui propaganda za kipuuzi pale palikuwa jikoni siku nyingii sana?Nani hajui pale degree za kimikakaati wamepewa wengi sana ,hata wengine ndio maraisi wanaotuzunguka?SHirvi na wengine unawaona wapo safi sana?Nini kimewakimbiza ktk nafasi na coverage walizokuwa wakipewa huku wakiitwa magwiji..?Pole sana.Hiyo logic yako sijui ni ya wapi itakuwa ya kitila mkumbo.
hakuna ulichoweza onyesha km umeelewa nilichokuandikia wewe ndio maana nimekuuliza nikuite nini?Ungeyasoma vizuri maswali yangu sijui km ungeeendelea na huu ushuzi...mwache mtani wangu ajadiliwe na watani?Mimi ninaweza kuwa ni toilet paper au whatever utakavyotaka, lakini approach yako katika mada hii inayonesha kuwa ubongo wako umehifadhiwa ndani ya pit latrine yenye nzi wengi, kwa hiyo kele za nzi hao zinafanya ubongo wako ushindwe kufanya kazi bali kuwa na baseless conclusions tu. Mpaka sasa bado hujaleta ushahidi kuonyesha kuwa Prof Migiro alisaidia Mama Asha-Rose kupata digrii zake za LLB, LLM na PHD, yet unaanza kutoa matusi ya kulazimisha thesis za kijiweni zikubalike. It does not make any sense kudai kuwa Assistant Lecturer wa Chemistry alikwenda kwa Professor au Senior Lecturer wa Sheria kumwomba amsaidie msichana ambaye bado hata alikuwa hajawa mke wake kupata digrii ya bure. Katika miaka sa sabini hadi themanini kulikuwa na gap kubwa sana baina ya ngazi za waalimu wa UDSM kiasi kuwa junior staff alikuwa hawezi kwenda kutoa upuuzi kwa senior staff unchallenged. Kama ulikuwa hujui, Kitivo cha sheria ndicho kilichokuwa na most senior academic staff katika chuo kikuu chote cha Dar es Salaama kwa vile ndicho kitivo pekee kilichokuwa chini ya University of East Africa kabla ya Nairobi, Dar na Makerere kutengana. Watu kupata digrii wakashindwa kuzitumia ipasavayo ni jambo jingine kabisa ambalo halina uhusiano na mada hii; kama Kikwete alipata digrri ya uchumi akaacha kuitumia siyo sababu ya kusema kuwa alisaidiwa kuipata. Mr. Bean unayemjua kama mchekeshaji tu kwenye TV naye alipata Masters in Electrical Engineering kutoka Oxford University lakini hajawahi kuitumia katika maisha yake, na huwezi kudai kuwa alipewa digrii hiyo bure. Kelele za nzi zimeelemea ubongo wako; I can undertstand!
hakuna ulichoweza onyesha km umeelewa nilichokuandikia wewe ndio maana nimekuuliza nikuite nini?Ungeyasoma vizuri maswali yangu sijui km ungeeendelea na huu ushuzi...mwache mtani wangu ajadiliwe na watani?