Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Nilishamdharau muda kitu kilikuwa wazi kbsa lakini chenyewe kinakomaa ipo pale pale hivi huo u Dr alipataje km hâta jambo kama hili alishindwa kuliona au ndo kujitoa ufahamu kbsa
 
Wasomi wetu ni wazuri wa kukariri ila ukija kwenye application ya elimu zao wanakuwa driven na siasa na hela. Hopeless interlectual.
 
Wakina mama wanamwona jembe eti awe rais wetu na huko ccm sijui kuna shida gani kwani sothe tumeona mama makinda akawa spika eti zamu ya wanawake hata kama uwezo nI duni. Subiri utasikia anafaa kuwa rais.
 
Kile cheo pale UN kimewekwa kisiasa na hakina nguvu ya kiutendaji. Ni katika jitihada za UN kufanya watu wasio na elimu wa nchi kama Tanzania kujisikia na wao wamo katika uongozi wa UN waati mtu kama Migiro alikuwa kama secretary wa Ban Ki Mon pale.

Wabongo hata hawajui kwamba kuna Mtanzania mwingine kachaguliwa kuchukua post kama ya Migiro ya Undersecretary General kisiri na mpaka sasa anafanya kazi kama "Under-Secretary-General, Mediator-In-Residence, DPA's Mediator Debriefing and Lessons Learned Program".

Usiniulize nani, that is classified.

Such are the intricate politricks of Turtle Bay.
 
Migiro alichemka alipojiingiza kwenye siasa za kina nape badala ya kusimama kwenye ukweli
 
Kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) wameipiga chini tarehe 30 April kuwa siyo siku ya kupiga kura ya maoni juu ya katiba inayopendekezwa,kunadhihirisha uwezo mdogo wa Bi.Migiro katika masuala ya uongozi,na sasa sishangai basi kwamba UN walimtema baada ya mhula mmoja tu;ni wazi hakuwa na uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Katibu Mkuu wa UN kama ilivyo sasa kwamba hana uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Rais Kikwete.

Ikiwa wazi kwa kila mtu kuwa isingewezekana refendum kufanyika tarehe 30 April, Migiro alijitokeza na kuanza kulumbana na maaskofu eti kura ya maoni lazima ifanyike kama ilivyopangwa!!!

Migiro na Pinda sahauni urais,mtaondoka na JK.

kabisa kabisa umesema ukweli mi jana nlivoskia nkajua hamna kitu pale
maana siku ile mishipa imemsimama kupinga jana yanakuja mengine huyu mama sifuri
 
Nilishamdharau muda kitu kilikuwa wazi kbsa lakini chenyewe kinakomaa ipo pale pale hivi huo u Dr alipataje km hâta jambo kama hili alishindwa kuliona au ndo kujitoa ufahamu kbsa

Mnamlaumu bure huyu migiro kwani ukitaka kuwa kingozi wa ccm lazima ujitoe akili
 
Asha allifeli UN akarudi na afro lake
Miaka aliyokaa hakubadilika. Kapewa katiba huku jk akijuwa mama hana uwezo mbali ya mipasho.

Kwa kweli umempatia yaani hii katiba ili laaniwa hata wakati inaanza, kizazi cha nyoka wa makengeza walituingiza mkenge lakini Mungu ni mwema amesikia kilio cha wengi BRV ikagoma, Mahakama ya Kadhi nayo iyoo, sasa kilicho baki ni kuahakikisha Chenge, Siita, Migiro na Pinda hawarudi bungeni.
 
Back
Top Bottom