Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipungia wananchi wakati akirejea kijiji cha Lituhi kwa kuvuka mto Ruhuhu kwa mtumbwi, baada ya kutoka kuwasalimu wakazi wa kijiji cha Kipingu wilayani Ludewa,wengine pichani ni Dk.Asha-Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho.

Mh Rais Jakaya Kikwete kwa wakazi wa kijiji hicho.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Lituhi wakiwa ndani ya Mtumbwi wakitokea katika kijiji cha Kipingu wilayani Ludewa,shoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Huyo ni Past Tense Material !wala haumizi kichwa
 
Anaiaibisha taaluma yake, afadhali arudi kufundisha chuo, yeye kinana na nape wapi na wapi? Huyu mama anajilazimisha akili za kizezeta!
 
Angekuwa anafanya izo shuhuli akiwa chadema mngesema ni zezeta nyie ndio hamna akili hata za kufikiri tu
 
Usisahau kuwa siasa ndio hiyohiyo ndio ilimpeleka umoja wa mataifa.
 
huyu mama ashatolewa ufahamu baada ya kutoka UN

chezea magamba wewe!!
 
Yeye na boya kiunoni! !!???
Kina mama wote wanayo hayo au hatari ni kwake tu???!!!!

Mungu hutufunua akili kwa njia nyingi sana!!!!
 
Angekuwa anafanya izo shuhuli akiwa chadema mngesema ni zezeta nyie ndio hamna akili hata za kufikiri tu

natamani hiyo boti igeuke chini kuwe juu labda tembo wetu watasalimika....
 
Rais mtarajiwa huyo 2015 zamu ya akina mama na Lowasa hatabadilika usiku mmoja na kuwa ke! siasa mchezo mchafu

Dah ...,.......... inawezekana Lowassa hashindwi...... alivokamia hata ikibidi kuwa ivyo atafanya
 
Kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) wameipiga chini tarehe 30 April kuwa siyo siku ya kupiga kura ya maoni juu ya katiba inayopendekezwa,kunadhihirisha uwezo mdogo wa Bi.Migiro katika masuala ya uongozi,na sasa sishangai basi kwamba UN walimtema baada ya mhula mmoja tu;ni wazi hakuwa na uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Katibu Mkuu wa UN kama ilivyo sasa kwamba hana uwezo wa kutosha kumsaidia kazi Rais Kikwete.

Ikiwa wazi kwa kila mtu kuwa isingewezekana refendum kufanyika tarehe 30 April, Migiro alijitokeza na kuanza kulumbana na maaskofu eti kura ya maoni lazima ifanyike kama ilivyopangwa!!!

Migiro na Pinda sahauni urais,mtaondoka na JK.
 
hao ulowataja ni vilaza kweli kweli, ni heri wangepisha watu wengine, wapo vile wanamatumbo ambayo yanawasumbua kuyalipia madeni yake
 
Back
Top Bottom