Kama HUYU tuluyenaeTujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo....
Hivi zile 1.5B kwenye repoti ya Pro Assad zilienda wapi?
Ndugai anaweza kusaidia kujibu.Hivi zile 1.5B kwenye repoti ya Pro Assad zilienda wapi?
Ungenisaidia maelezo ningekuona una akili sana lakini kwa namna unavyojibu nakuona kama chiriku tu unasifia bila kuwa na hojaHata hujui umeandika nini yaani 1.5B ni sawa tu Na million elfu moja Na Mia tano tu! Inaonekana Shule kwako ilikuwa shidah ndo mana JPM akasema elimu bure kwa watu aina yako
Dikteta uwezi kumfananisha na Rais wa Sasa, Ngosha alikuwa muuajiMagufuli alikua na mazuri na madhaifu mengi lakini huyu tuliepata ni kimeo full stop.
Kufa umfuate dikteta/ Samia ni Rais bora kwa Africa,wafanyakazi wamepanda madaraja, askari pia wamepanda vyeo ambavyo walistahili muda kupandishwaMungu alichofanya ni Un equal exchange. Hawezi kuchukua Magufuri akatuachia huu mzigo. Sema kwakua ye ndo kila kitu acha tuwe wapole ila tushaingizwa cha kike kwa huyu Bibi.
In my opinion ukiacha Mwalimu Nyerere kuwa top ,Jk angekuwa second place na Magufuli angekuwa wa 6 katika top 6 yanguKwa watanzania hakuna rais aliewahi kufanya mazuri
Lakini kama kutakuwepo na top six hadi sasa ya kwangu itakuwa hivi
1.Mwalimu JK. Nyerere
2.Daktari JP. Magufuli..
Yes.Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo. Huwezi kupata mtu kamilifu lakini unaweza pata someone who will get the job done. Afrika imekua in vicious circle kwa miaka mingi na marais sampuli za JPM ndo walihitajika kuturudisha kwenye ramani ya dunia, wengine ni vibaraka tu walio wavivu na wenye udhaifu wa fikra
Acha kufuru,magu alikuwa dubwasha moja hatari sana kuendelea kuishi dunianj Mungu fundiMungu alichofanya ni Un equal exchange. Hawezi kuchukua Magufuri akatuachia huu mzigo. Sema kwakua ye ndo kila kitu acha tuwe wapole ila tushaingizwa cha kike kwa huyu Bibi.
Best president ever👇Magufuli alikua na mazuri na madhaifu mengi lakini huyu tuliepata ni kimeo full stop.
Poa gani? Miaka 6 alifanya mradi gani akamaliza licha kuacha lundo la madeni kwenye nchi?Ukiondoa biases jamaa alikuwa poa Sana. Udhaifu upo kwa kila binadamu
Acha ujinga wewe,na wewe kapige kama unaweza..lipeni Kodi ,vya bure havipo.👇Kwa uzi wako kutokana na tafsiri ya wanaotoa maamuzi leo na juzi wamepiga mikwara mitandao huoni kama unafitinisha uongozi uliopo kwa wananchi kwa kulinganisha utendaji bora wa Hayati JPM. Hizi ndio mama aliziita chokochoko,gilba na ufitini