Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

Tumpe muda huyo bibi umsemae.
Miezi 6 amedeliver kuliko Dhalimu wenu 👇

Screenshot_20210919-162604.png
 
Hapana aisee huyu jamaa siyo kwa sitaili hiyo aliyokuwa nayo chinja chinja huyo
Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo. Huwezi kupata mtu kamilifu lakini unaweza pata someone who will get the job done. Afrika imekua in vicious circle kwa miaka mingi na marais sampuli za JPM ndo walihitajika kuturudisha kwenye ramani ya dunia, wengine ni vibaraka tu walio wavivu na wenye udhaifu wa fikra
 
Kufa umfuate dikteta/ Samia ni Rais bora kwa Africa,wafanyakazi wamepanda madaraja, askari pia wamepanda vyeo ambavyo walistahili muda kupandishwa
Hata jogoo huwa kiongozi bora kwa kuku wenzeke. Hakuna upuuzi wenye upuuzi mtupu. Hili bibi zigo la mavi lakini kwa nyie ni mbolea
 
Hata hujui umeandika nini yaani 1.5B ni sawa tu Na million elfu moja Na Mia tano tu! Inaonekana Shule kwako ilikuwa shidah ndo mana JPM akasema elimu bure kwa watu aina yako
hahahahahaha
 
Katiba mpya ndio suluhu ya mwisho na ya uhakika.
Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo. Huwezi kupata mtu kamilifu lakini unaweza pata someone who will get the job done. Afrika imekua in vicious circle kwa miaka mingi na marais sampuli za JPM ndo walihitajika kuturudisha kwenye ramani ya dunia, wengine ni vibaraka tu walio wavivu na wenye udhaifu wa fikra
 
Katika dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia Nchi inayoendeshwa kwa maono ya mtu mmoja kamwe haiwezi kufanikiwa- itachemsha. Mtu mmoja hawezi kujua kila kitu, ndio maana kuna wataalamu katika kila fani .

Vyombo vya habari vikiwa huru kuchambua na kuripoti kila kitu kwa uwazi hapo ufisadi na wizi wa pesa za umma utakomeshwa na maendeleo ya kweli yataonekana.

Vyombo vya habari ni muhimu sana katika kufichua madhambi ya viongozi. Visipokuwa huru - si rahisi kuziamini takwimu zinazotolewa na watendaji wenyewe, lazima kuwe na jicho la pili.
 
Wewe Leslie Mbena bado upo?! Umesahau pia kuzungumzia watu wasiojulikana wakati wa Magufuli! Zungumzia utajiri na uporaji wa Paulo Makonda wakati wa Magufuli! Vipi kuhusu vifo vya Ben Saa nane, Azory Gwanda, Leopold Lwajabe n.k.
Magufulia acha kumpampu tatizo lake lilikuwa kwenye lugha (kimalkia)ndo maana hakusafiri nje!! Mengine ni kujipendekeza tu!
Ben Saa Nane sijui Azory na hizo takataka zingine zimejenga hospital vijijini watu wakapata huduma bora za afya? Au SGR watu wengi hususan maskini wakapata usafiri wa uhakika? Kama hapana basi wafufuliwe alafu wauwawe tena! Ajenda za kijinga kabisa hizi zinakuzwa na wasio na akili
 
Back
Top Bottom