Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

Hardbody

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,633
2,000
Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo....
Kama HUYU tuluyenae
 

Kingtox

Senior Member
Sep 13, 2021
193
250
Kwa watanzania hakuna rais aliewahi kufanya mazuri

Lakini kama kutakuwepo na top six hadi sasa ya kwangu itakuwa hivi

1.Mwalimu JK. Nyerere
2.Daktari JP. Magufuli
3.Ally Hassani Mwinyi
4.benjamin William Mkapa
5.Samia Suluhu Hassan
6.Daktari JM Kikwete
 

mweusi asili

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,545
2,000
Hata hujui umeandika nini yaani 1.5B ni sawa tu Na million elfu moja Na Mia tano tu! Inaonekana Shule kwako ilikuwa shidah ndo mana JPM akasema elimu bure kwa watu aina yako
Ungenisaidia maelezo ningekuona una akili sana lakini kwa namna unavyojibu nakuona kama chiriku tu unasifia bila kuwa na hoja
 

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,381
2,000
Historia ipi ambayo Magufuli aliijua? Rais wa kuwait alikua Sadam Husein? Yan kumpa sifa Magufuli ni sawa na kumweka nguruwe katika marumaru wakati hajui dhamani yake.

Magufuli aliiharibu ichi kila pande, Leo hii Serikali inawezekana ikatumia Polisi, Magari ya washa washa, na askari wa ziada kuwaondoa machinga ambao Magufuli aliwaruhusu kwa midomo yake wafanye biashara kila mahali katika miji, Hujiulizi haya nani aliyasababisha.

Magufuli kiliacha Taifa likiwa limeathirika pabaya mno na maamuzi yake yaliyokuwa hayafuati taratibu tulizojiwekea kama Taifa. Kuburuza wapinzani wake mahakamani ndio kumbukumbu nzuri.

Pita hivi.
 

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
1,421
2,000
Hakuna kitu kibaya na laana mbaya Kama kumwaga ya damu binadamu mwenzako. Italia siku zote kwenye ardhi Kila utakapo kanyaga.. Hata wanyama tunapaswa kuwachinja kwa heshima.
 

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,009
2,000
Mungu alichofanya ni Un equal exchange. Hawezi kuchukua Magufuri akatuachia huu mzigo. Sema kwakua ye ndo kila kitu acha tuwe wapole ila tushaingizwa cha kike kwa huyu Bibi.
Kufa umfuate dikteta/ Samia ni Rais bora kwa Africa,wafanyakazi wamepanda madaraja, askari pia wamepanda vyeo ambavyo walistahili muda kupandishwa
 

computerarsenal

JF-Expert Member
Jan 27, 2020
1,307
2,000
Kwa watanzania hakuna rais aliewahi kufanya mazuri

Lakini kama kutakuwepo na top six hadi sasa ya kwangu itakuwa hivi

1.Mwalimu JK. Nyerere
2.Daktari JP. Magufuli..
In my opinion ukiacha Mwalimu Nyerere kuwa top ,Jk angekuwa second place na Magufuli angekuwa wa 6 katika top 6 yangu
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,917
2,000
Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo. Huwezi kupata mtu kamilifu lakini unaweza pata someone who will get the job done. Afrika imekua in vicious circle kwa miaka mingi na marais sampuli za JPM ndo walihitajika kuturudisha kwenye ramani ya dunia, wengine ni vibaraka tu walio wavivu na wenye udhaifu wa fikra
Yes.
Watu ni wabinafsi na tamaa hiyo ni kweli 100% kizazi kinachotaka mafanikio ya kula muda huo na kizazi kijacho kijitafutie kwa wakati wao, kitu ambacho hakipo.

Yaani ndiyo maana kuna watu waliumia na kufa ndipo reli kutoka Dar to Mwanza and Kigoma ikajengwa, leo watu wanakodi mabehewa kupakia mizigo na kusafirisha ila wanajifanya hawajui kuna damu ilimwagika.

Hizi fikra za vijana wabichi wasiyo na maono ya siku zijazo ndiyo isiyopenda reformation.
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,302
2,000
Mungu alichofanya ni Un equal exchange. Hawezi kuchukua Magufuri akatuachia huu mzigo. Sema kwakua ye ndo kila kitu acha tuwe wapole ila tushaingizwa cha kike kwa huyu Bibi.
Acha kufuru,magu alikuwa dubwasha moja hatari sana kuendelea kuishi dunianj Mungu fundi
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,066
2,000
Porojo za kijinga tu, kutojua kwake Ulaya ndio kumetusaidia nini sisi kuleta ugali mezani?

Mkumbuke wewe
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,066
2,000
Magufuli alikua na mazuri na madhaifu mengi lakini huyu tuliepata ni kimeo full stop.
Best president ever👇

Screenshot_20210919-150018.png
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,066
2,000
Kwa uzi wako kutokana na tafsiri ya wanaotoa maamuzi leo na juzi wamepiga mikwara mitandao huoni kama unafitinisha uongozi uliopo kwa wananchi kwa kulinganisha utendaji bora wa Hayati JPM. Hizi ndio mama aliziita chokochoko,gilba na ufitini
Acha ujinga wewe,na wewe kapige kama unaweza..lipeni Kodi ,vya bure havipo.👇

IMG-20210717-WA0000.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom