Habari wana Jamii Forums.
Tayari nipo kwenye mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa katika mahusiano kama miez 6 kwanza ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwenye harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Morogoro wote.
Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautamu.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa hukoapo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.
Please nifanyeje.