Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

ELVISLILY

Member
Jun 15, 2013
55
24
Habari wana Jamii Forums.

Tayari nipo kwenye mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa katika mahusiano kama miez 6 kwanza ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwenye harakati za kutaka nikapafahamu kwao Mwanza,tupo Morogoro wote.

Ila toka week hii ianze ananishawishi nimpe mautamu.Ni busara kweli kumpa na je nisipompa akitafuta kwingine je na kunogewa hukoapo nilipenda iwe hadi baada ya ndoa.Mi nipo fit,I hope nae yupo physically fit too na hata ikiwa tofauti I will be ready kuvumilia yote.

Please nifanyeje.
 
Ndo hicho ninachowaza icje ikawa km waliopita.Am not virgin but nimefikia muda I just want kuingia kwny really committment.

Kaswali ka kitigiria ni kamaana sana, naona umekakimbia kiaina. Anyway nadhani wewe ni mtu mzima sasa na umekubali kuwa si bikra. Basi busara yako na iamue katika hili.

Ukiwa tayari kuuziana mbuzi kwenye gunia, dunia ya leo yenye mapungufu mengi ya chumbani, uwe tayari kufa na tai shingoni mpaka kifo kiwatenganishe. Vinginevyo pimeni afya zenu pamoja mle maisha, cha muhimu msizae kabla ya kufunga ndoa. Nadhani hapo umenipata.
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza swali...

Hivi ukimuomba ushauri mzinzi/muasherati kuwa udinyane au usidinyane, unatarajia atakujibu kuwa usidinyane?

Mleta mada una kazi ya kuchambua majibu kutokana na concern yako...kumbuka kipofu mmoja hawezi muongoza kipofu mwingine.
 
Kukosa misimamo ni janga sana. Unatakiwa uwe na maamuzi na usimamie maamuzi bila kuyumbishwa na matakwa ya aina yoyote. Wewe Ulisha amua kuwa hutofanya tena mpaka ndoa sasa iweje leo unataka kubadilika?

Yani upo tayari kumpa utupu wako kisa tu unaogopa atatembea na mwingine? Akitembea nje hiyo ina maana hakuheshimu na hafai kuwa mume kwahiyo unaachana naye.

By the way Nini kinacho kupa uhakika kuwa ukimpa hato tembea nje? Mwanaume mwenye nia ya muda mrefu na wewe Hawezi kukuacha kisa umemnyima P. Hiyo gia ya kutaka kukupeleka kwao Mwanza wala isikudanganye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom