Miezi mi 5 sasa tangu tuahidiwe Arteza za kila mwezi kutoka Wasafi Media

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
6,714
2,000
Wale Chawa wa WCB Teza zimetoka ngapi?

Janja Janja Media, Kik ya teza ilibuma na Kiki ya kulipia watu Kodi pia ilibuma

Teleza na Teza toka Wasafi Media
Ninachokikubali kuhusu ww,taarifa zote za WCB unazifuatilia,tatizo lako huelewi.Sehemu gani walisema wanatoa Alteza kila mwezi ?

Mshindi wa hiyo gari huyo hapo.
👇👇
Gari lilikuwa moja na wakati wanazindua shindano hili walilionyesha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom