Mida ya wanga

Mida ya wanga

125d15b8e771e95d7872a6647b3ec524.jpg



Cc: mahondaw

Smart911 love mi naogopa hayo madume ya kutisha nitaota usiku
 
Sishauri mtu ajaribu kama hana msingi mzuri wa kiroho na kiimani... Unaweza kuingia kwenye shimo ambalo hutaweza kutoka
Hivi vitu ni inside out, na unazaliwa navyo! Huwezi kuvi force, bali vinatokea automatically! Ndiyo maana matajiri wengi au wakuu wa nchi wakiamua kitu ndio hicho hicho tu mpaka kifanyike, hizo ni energy kubwa zinazotoka ndani yao, na hizo energy zina mpa protections za hali ya juu, na hapa naongelea kwa wale walio zaliwa nazo (blueprint). Za kununuwa kwa waganga zina expiring date....na ikiisha! MWAAAFAAA
 
Sishauri mtu ajaribu kama hana msingi mzuri wa kiroho na kiimani... Unaweza kuingia kwenye shimo ambalo hutaweza kutoka
Ndiyo maana wafalme wa zamani walikuwa wana sema! When God decided it must be done and I am chosen by God and this is my decision! Mjadala unafungwa na ukimpinga zile nguvu zina mtetea unaweza usiamke asubuhi, wafalme hata vitani walikuwa wanakwenda live! hahahaha It is time!
 
Ndiye mimi hujakosea.Mdogo wangu huyo kwasasa ni Engneer.
Daaah shikamoo dada najua huwezi nikumbuka... mara ya mwisho nilikua na nae Alfred pale chuo cha Ardhi nilimtembelea prof Mbyopyo zamani I mean..nikija Tz ntamtafuta nakijua kichwa kile safi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom