Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
UtaiwezaNgoja nikapate konyagi kwanza afu nije
UtaiwezaNgoja nikapate konyagi kwanza afu nije
Sema Huko unapo kwenda Sipo Tulipo pangaNifuate ntakuongoza, hofu ni mwiko Karisa katika mambo haya
HahaaaaaaUtaiweza![]()
Ebu shusha Nondo Tupo pamojaKatika ulimwengu wa kiroho time and space do not exist.
In our spiritual world, Hakunaga eti ni Mbali hapana.Sema Huko unapo kwenda Sipo Tulipo panga
Mission tofaut iyo na ya mshana
Nakufatilia nipe somoIn our spiritual world, Hakunaga eti ni Mbali hapana.
Wachawawi at WorkUlimwengu wa kiroho hauna mipaka ya muda na nafasi. Ulimwengu ambao nafsi inakuwa huru . Unaweza ukaondoka hapo ulipo ukaja hapa nilipo kandokando ya huu mto rufiji..... Hapa tunafanya tambiko na tunamaliza hivi punde.
Nikimaliza ntakuwa somo zuri zaidi ili nawe uweze kutambua mambo haya. Ni Kwa neema tu, ndipo utayatambua.

HahaaaaaaWachawawi at Work![]()