Mida ya wanga

Mida ya wanga

Ulimwengu wa kiroho hauna mipaka ya muda na nafasi. Ulimwengu ambao nafsi inakuwa huru . Unaweza ukaondoka hapo ulipo ukaja hapa nilipo kandokando ya huu mto rufiji..... Hapa tunafanya tambiko na tunamaliza hivi punde.
Nikimaliza ntakuwa somo zuri zaidi ili nawe uweze kutambua mambo haya. Ni Kwa neema tu, ndipo utayatambua.
Beyond boundaries
 
Hivi Mkuu Mshana naomba kuuliza hivi hawa Wanga chanzo chake nini, hyo technolojia waliitoa wap, kwanini kila mkoa wanga wap? Je wanga wapo kila nchi? Uhusiano wao wa nchi na nchi ukoje?
Mkuu Mshana tafadhali....
 
Mimi mpaka Leo bado siamini sura za kutisha ni mashetani ila naamini mashetani wapo kuhusu sura zako ni za kutisha na mimacho ya ajabu bado sana hapa kuna namna, tunapishana nayo kila siku kwa sababu watu wanasubili kuona sura ya kutisha hawaona yanaingia na kutoka
 
Hao shetani mimi nilishabahatika kuwaona sema walikua hawatishi kama tunavoona kwenye picha sasa sijui labda kama wako tofauti inabidi mshana Jr aje atufafanulie hapo
 
Mimi mpaka Leo bado siamini sura za kutisha ni mashetani ila najua wapo
Mambo ya kiroho hayaonekani Kwa macho. Wala hayatambuliki kwa akili ya mwanadamu. Michoro na picha ni mawazo tu ya watu kuwasilisha fikra zao.
 
Biblia inaweza kutoa majibu yote, history ya uwepo wa shetani ni uasi sifa yake kabla alikuwa huko kwa jina kelubi, baada ya uasi kafukuzwa na wale malaika waliomhunga mkono sasa tunakuja malaika anatisha Mala jicho moja najalibu kutafuta wapi katika history ya Biblia japo mstari mmoja umeelezea aliyemwona lakini sijafanikiwa kama unaweza kuwa na mstari nipe
 
Mambo haya huwezi kuyaona Kwa macho,
 
Hivi Mkuu Mshana naomba kuuliza hivi hawa Wanga chanzo chake nini, hyo technolojia waliitoa wap, kwanini kila mkoa wanga wap? Je wanga wapo kila nchi? Uhusiano wao wa nchi na nchi ukoje?
Mkuu Mshana tafadhali....
Ni kinyume cha nuru ni kinyume cha mambo mema... Kila kitu kina kinyume chake....
 
Mimi mpaka Leo bado siamini sura za kutisha ni mashetani ila naamini mashetani wapo kuhusu sura zako ni za kutisha na mimacho ya ajabu bado sana hapa kuna namna, tunapishana nayo kila siku kwa sababu watu wanasubili kuona sura ya kutisha hawaona yanaingia na kutoka

Hao shetani mimi nilishabahatika kuwaona sema walikua hawatishi kama tunavoona kwenye picha sasa sijui labda kama wako tofauti inabidi mshana Jr aje atufafanulie hapo
Kwenye ile mada nyingine ya je, Hawa unawafahamu sura zao? nimeeleza kwa ufasaha kuhusiana na hili kwamba kile kinachochorwa ni tafsiri ya kibinadamu kutokana na simulizi maandishi na fikra... Kwamba hiki kikisemwa hivi basi kiko hivi basi kiko hivi

Kuna mada nyingine ile ya shetani adui rafiki mkiisoma mtapata ufahamu na ufafanuzi zaidi
 
Biblia inaweza kutoa majibu yote, history ya uwepo wa shetani ni uasi sifa yake kabla alikuwa huko kwa jina kelubi, baada ya uasi kafukuzwa na wale malaika waliomhunga mkono sasa tunakuja malaika anatisha Mala jicho moja najalibu kutafuta wapi katika history ya Biblia japo mstari mmoja umeelezea aliyemwona lakini sijafanikiwa kama unaweza kuwa na mstari nipe
KERIBU NI CHEO CHA MALAIKA, maana wao pia wana serikali na sheria kama unavyoona hapa duniani. Ndiyo maana SALA inasema "mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama mbinguni"
 
IMG_0956.JPG
IMG_0956.JPG
Day and Night!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom