Mida ya wanga

Mida ya wanga

Marahaba mdogo wangu.
Usijali tuombe uzima tu.
Je niku pm namba yake au unayo?
 
Daaah shikamoo dada najua huwezi nikumbuka... mara ya mwisho nilikua na nae Alfred pale chuo cha Ardhi nilimtembelea prof Mbyopyo zamani I mean..nikija Tz ntamtafuta nakijua kichwa kile [emoji3] [emoji122] safi sana

Marahaba mdogo wangu.
Usijali tuombe uzima tu.
Je niku pm namba yake au unayo?
 
Mshana Jr....naomba KUULIZA swali kidogo...

Hivi hawa Wanga na Wachawi huwa WANAUGUA kweli..!!?

Na Je..? Ikiwa wataugua WANATIBIWA wapi..!!
 
Kuna magonjwa kama malaria kipindupindu nk hayajui uchawi ninini..asipotibiwa hospital anakufa bahati mbaya ama nzuri wengi wanajua mitishamba hivyo hujitibia
 
Ahsante MKUU...Maana kuna KIBIBI kiko Mtaani kwangu..watu wanasema ni "KIGAGULA"...

Mara kwa mara kinanipiga MIZINGA kikiomba hela kwa madai ya kununua DAWA..!!

Nilikuwa najiuliza...Mwanga anaumwa vp...!!?

Sasa nimekuelewa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom