ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Nipo!Isis nakuomba tuwe marafiki kwakweli nakukubali sana..
Nipo!Isis nakuomba tuwe marafiki kwakweli nakukubali sana..
Nasikia mchawi na mbwa awapatani hata kidogo apa sijaelewa au kwa wachawi wa Pwani tuuu
Sawa sawa wewe mshana Jr nakumbuka ulinisaidia sana tatizo langu tena kwa uwezo wako woote bureeeeee. Wewe jamaa Mungu akubaliki sanaUsijali, hapana mimi sio mchawi hii ni elimu tu ndugu yangu
Bila shaka hii ni movie! Kama ndivyo, naomba jina lake mkuu, napenda saana movie za kutiisha zenye uchawi ndani yake.
Mwenye Enzi Mungu alipo mweka mwanadamu kwenye bustani, alimwambia awape majina viumbe wote, hapo inamaanisha mwanadamu ana nguvu ya ku control vitu vingi sana lakini kuto jiamini kumewafanya wawe na uwoga mwingi na waoga hawafiki popote katika ulimwengu huu mzuri tuliyopewa na Mwenye Enzi Mungu! Kwa kukujibu swali lako hao kina mama hawana uwoga wa aina yoyote na hawana limit!Nasikia mchawi na mbwa awapatani hata kidogo apa sijaelewa au kwa wachawi wa Pwani tuuu
Mimi pia kwa kweliBila shaka hii ni movie! Kama ndivyo, naomba jina lake mkuu, napenda saana movie za kutiisha zenye uchawi ndani yake.
Mikwara mingi kama ya North Korea.Saba kamili hii aliye tayari tukutane palepale