Most people will not understand.Hapana kiza ndio asili
Mkuu, fafanua hiyo statementHapana kiza ndio asili
Isis nakuomba tuwe marafiki kwakweli nakukubali sana..Hahahaha!
Karibu ndugu yangu!Isis nakuomba tuwe marafiki kwakweli nakukubali sana..
Karibu!Isis nakuomba tuwe marafiki kwakweli nakukubali sana..
Hahahaha, nilikuona, mimi nikakupitaDah thanks leo nimechelewa kidogo angani kulikuwa na jam
HahahahaDah kweli nimekukumbuka
Ok asante sana maana muda mwingi naonaga picha za majini kiuno chembambaHapana hilo ni jumba tu jini ni roho linaweza kuvaa mwili wowote