Microsoft Kusitisha Huduma Katika Windows 7 Ifikapo January Mwakani

Kweli watu wengi wanatumia fake Windows 7 lazima walie lie. Mimi windows zote zilipokuwa zinaondoshwa nilikuwa nalia tokea Windows 95,98 na xp ndizo pendwa zangu... Zile zingine sikuwahi zipenda kina Windows 2000 na Windows Millennium. But windows 10 inababaisha sana watu waliozoea windows 7
 
Dah kwa maoni tu naona windows 7 ilikuwa kali sana kuliko hata hii 10 ambayo inatafuna bando kama slayqueen. Mpaka leo nimeshindwa figure out how to stop auto updates. 10 yanikera vibaya af kwa pc yangu imekuwa nzito kuliko ilivyokuwa na 7
Window 10 sio mchezo.. 1GB within a minute linakuwa limeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitumia muda sana kuizoea Windows 10, ila kiukweli 7 itabaki kuwa bora. Ishu ya kula bundle nilishastopisha auto updates lakin bado bundle linatembea tu
1547795016198668890486.jpg
 
Msitarajie tena toleo la Windows hivi karibuni, kwani kwa mujibu wa Microsoft wanasema hawata toa operating system ngine zaidi ya kuwa wanatoa updates za windows 10 kama kwa sasa wametoa update ya redstone 5 ambayo ilitoka mwishoni mwa mwaka jana hivyo basi ni muhimu kuiupdate windows ten maana hiyo ndio windows watakao dumunayo, mtihani wa wenye Mb za wasiwasi
 
Kama bado unatumia Windows 7, ni mda mzuri sasa kuanza kutumia windows nyingine kama 8, 10 n.k.

Starting Jan. 14, 2020, exactly one year from Monday, Microsoft will no longer support Windows 7. That means no more updates or security fixes for the operating system.

"Changes and upgrades in technology are inevitable," said Brad Anderson, corporate vice president for Microsoft 365, in a blog. "And there's never been a better time to start putting in motion the things you need to do to shift your organization to a modern desktop with Microsoft 365."

Microsoft will continue to provide security updates for Windows 7 to business customers that pay for support, according to ZDNet, but not individual users.

Windows 7 was released in 2009 and is still one of the most widely used desktop operating systems. Windows 10 finally overtook Windows 7 in the desktop market at the end of last year, according to ZDNet. NetMarketShare's December 2018 report showed that 39.2 percent of the machines they collect data from used Windows 10, while 36.9 percent used Windows 7, according to ZDNet.

In 2012, the computer giant decided to extend five more years of support for all editions of Windows 7 for individual users.View attachment 997739
Wale tunaotumia linux tuna
comment wapi??
 
kiukweli sikumbuki mara yangu ya mwisho kutumia windows ilikuwa ni lini.Kwangu ni mwendo wa Ubuntu kwa kwenda mbele
 
Kama bado unatumia Windows 7, ni mda mzuri sasa kuanza kutumia windows nyingine kama 8, 10 n.k.

Starting Jan. 14, 2020, exactly one year from Monday, Microsoft will no longer support Windows 7. That means no more updates or security fixes for the operating system.

"Changes and upgrades in technology are inevitable," said Brad Anderson, corporate vice president for Microsoft 365, in a blog. "And there's never been a better time to start putting in motion the things you need to do to shift your organization to a modern desktop with Microsoft 365."

Microsoft will continue to provide security updates for Windows 7 to business customers that pay for support, according to ZDNet, but not individual users.

Windows 7 was released in 2009 and is still one of the most widely used desktop operating systems. Windows 10 finally overtook Windows 7 in the desktop market at the end of last year, according to ZDNet. NetMarketShare's December 2018 report showed that 39.2 percent of the machines they collect data from used Windows 10, while 36.9 percent used Windows 7, according to ZDNet.

In 2012, the computer giant decided to extend five more years of support for all editions of Windows 7 for individual users.View attachment 997739
Kwaupande wangu naikubali sana Windows 8.1 mpaka basi.
 
Dah kwa maoni tu naona windows 7 ilikuwa kali sana kuliko hata hii 10 ambayo inatafuna bando kama slayqueen. Mpaka leo nimeshindwa figure out how to stop auto updates. 10 yanikera vibaya af kwa pc yangu imekuwa nzito kuliko ilivyokuwa na 7
Nilijua n mm tu kutafuniwa bando ya 10 gb week haikat kwa matumizi ya kawaida tu.. Kitu kibaya hii machine yang it's recommended tht it plays well with windows 10..
Yaan I akera sana... Nshafanya mautundu yote ila chenga
 
Kuna maelekezo hapo juu labda yatakusaidia
 
Back
Top Bottom