Microsoft Kusitisha Huduma Katika Windows 7 Ifikapo January Mwakani

Microsoft Kusitisha Huduma Katika Windows 7 Ifikapo January Mwakani

8.0 mbona ipo vizuri wakuu, au tunatofautiana maujuzi maana nimetumia 7 ilipoingia 8 nikahamia 8 mazima.

Utamu upo 8, 10 nimejaribu siojaona utamu nimebaki 8 mule mule huu ni mwaka 7
Nlkua kama wewe mkuu mpaka pale nlipotafta pc customized kwa shughuli zangu alaf nikakuta lazima win 10,baada ya wiki tu,hta surface nkaitia win 10.iko poa sana km 8.1

Sent using Brain
 
Kama bado unatumia Windows 7, ni mda mzuri sasa kuanza kutumia windows nyingine kama 8, 10 n.k.

Starting Jan. 14, 2020, exactly one year from Monday, Microsoft will no longer support Windows 7. That means no more updates or security fixes for the operating system.


"Changes and upgrades in technology are inevitable," said Brad Anderson, corporate vice president for Microsoft 365, in a blog. "And there's never been a better time to start putting in motion the things you need to do to shift your organization to a modern desktop with Microsoft 365."

Microsoft will continue to provide security updates for Windows 7 to business customers that pay for support, according to ZDNet, but not individual users.

Windows 7 was released in 2009 and is still one of the most widely used desktop operating systems. Windows 10 finally overtook Windows 7 in the desktop market at the end of last year, according to ZDNet. NetMarketShare's December 2018 report showed that 39.2 percent of the machines they collect data from used Windows 10, while 36.9 percent used Windows 7, according to ZDNet.

In 2012, the computer giant decided to extend five more years of support for all editions of Windows 7 for individual users.View attachment 997739
Wale walioizoea sio mbaya, kama unaitumia nyumbani cha msingi ni kuwa na third party anti virus na kuweka updates zake mara kwa mara.
 
Nimeona watu wengi wanalalamika baada ya kusoma iyo notice. Lakina 100% ni wanafiki wakubwa na hawaelewi nini kitakacho fanyika.

Pili. 100% wote wanatumia Fake windows hakuna hata mmoja anaetumia Genuine windows 7.

Sasa kisa cha kulialia ni nini wakati hata bei ya windows 7 huijui. Features kibao za security zipo Disabled.

Mm nashauri kama unaipenda windows 7 utaendelea kutumia hadi unakufa.

Ila kama ww una business inayokulazimu kuwa na Genuine OS, it's now your time to prepare for migration to letest windows version.

Ila kama ni mwenzangu na mimi kaa kimya
Mbona hata windows 8 na 10 ambazo sio genuine na zinakuwa zipo zinatumika, inakuwa activated kiujanja na updates zinapokea vizuri tu.
 
Back
Top Bottom