Microsoft Kusitisha Huduma Katika Windows 7 Ifikapo January Mwakani

Microsoft Kusitisha Huduma Katika Windows 7 Ifikapo January Mwakani

Acheni masikhara asee, windows 10 ni OS nzuri sana kwa upande wa microsoft, lakini kwa sasa natumia windows 7. Why? Kwa sababu windows 10 ina built in programs and services nyngi sana ambazo si kila mtumiaji anazihitaji so inakua inabackground processes nyingi sana inapeleka computer inakua slow compared to windows 7...
kwenye PC yangu ya mkoloni HP ellitebook 8440p bootup time nikiwa natumia windows 7 inacheza 7 seconds mpaka 13 seconds wakati windows 10 kwenye hii PC yangu bootup time inacheza 32 seconds to 1.3 minute(s)

Alafu kitu kingine ni kwamba windows 10 latest iko kama iphone tuu yaani kama setup / software haijawa verified basi haiwez kuirun au kuinstall kabisa.. ilihali windows 7 iko kama android tu yaani alimradi .exe file basi litarun tu.😛😛😛😛
 
Nimeona watu wengi wanalalamika baada ya kusoma iyo notice. Lakina 100% ni wanafiki wakubwa na hawaelewi nini kitakacho fanyika.

Pili. 100% wote wanatumia Fake windows hakuna hata mmoja anaetumia Genuine windows 7.

Sasa kisa cha kulialia ni nini wakati hata bei ya windows 7 huijui. Features kibao za security zipo Disabled.

Mm nashauri kama unaipenda windows 7 utaendelea kutumia hadi unakufa.

Ila kama ww una business inayokulazimu kuwa na Genuine OS, it's now your time to prepare for migration to letest windows version.

Ila kama ni mwenzangu na mimi kaa kimya
Well said mkuu haituhusu hapa kwetu kwa kiasi kikubwa maana watu wakishachakachua huwa na update wanazima kabisa ili wasije kushtukiwa.

Na hata hizo biashara unaweza uka opt kupata updates sema zinakuwa sio bure tena.
 
Well said mkuu haituhusu hapa kwetu kwa kiasi kikubwa maana watu wakishachakachua huwa na update wanazima kabisa ili wasije kushtukiwa.

Na hata hizo biashara unaweza uka opt kupata updates sema zinakuwa sio bure tena.
Naaaam Chief
 
Kama bado unatumia Windows 7, ni mda mzuri sasa kuanza kutumia windows nyingine kama 8, 10 n.k.

Starting Jan. 14, 2020, exactly one year from Monday, Microsoft will no longer support Windows 7. That means no more updates or security fixes for the operating system.


"Changes and upgrades in technology are inevitable," said Brad Anderson, corporate vice president for Microsoft 365, in a blog. "And there's never been a better time to start putting in motion the things you need to do to shift your organization to a modern desktop with Microsoft 365."

Microsoft will continue to provide security updates for Windows 7 to business customers that pay for support, according to ZDNet, but not individual users.

Windows 7 was released in 2009 and is still one of the most widely used desktop operating systems. Windows 10 finally overtook Windows 7 in the desktop market at the end of last year, according to ZDNet. NetMarketShare's December 2018 report showed that 39.2 percent of the machines they collect data from used Windows 10, while 36.9 percent used Windows 7, according to ZDNet.

In 2012, the computer giant decided to extend five more years of support for all editions of Windows 7 for individual users.View attachment 997739
Duh, hii windows naipenda sana.
 
Nimeona watu wengi wanalalamika baada ya kusoma iyo notice. Lakina 100% ni wanafiki wakubwa na hawaelewi nini kitakacho fanyika.

Pili. 100% wote wanatumia Fake windows hakuna hata mmoja anaetumia Genuine windows 7.

Sasa kisa cha kulialia ni nini wakati hata bei ya windows 7 huijui. Features kibao za security zipo Disabled.

Mm nashauri kama unaipenda windows 7 utaendelea kutumia hadi unakufa.

Ila kama ww una business inayokulazimu kuwa na Genuine OS, it's now your time to prepare for migration to letest windows version.

Ila kama ni mwenzangu na mimi kaa kimya

Kama wewe unatumia feki ujue sio wote..
Kuwa hapa nchini kuna walio zaidi ya unavyofikiria na kuandika upupwu
 
Dah kwa maoni tu naona windows 7 ilikuwa kali sana kuliko hata hii 10 ambayo inatafuna bando kama slayqueen. Mpaka leo nimeshindwa figure out how to stop auto updates. 10 yanikera vibaya af kwa pc yangu imekuwa nzito kuliko ilivyokuwa na 7
Udogo wa PC ndo tatizo kwa siye tunaotumia laptop za zamani, na akuna bajeti ya kununua PC ya kisasa maana hii iliyopo ya kizamani ndo kwanza haina dalili ya kuharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumiaji wa windows 7 ni wengi sana. Mimi nilijaribu 8,ubuntu, 10 ila nikarudi kwenye 7 hiyo ndio windows pendwa
Mimi huwa sipendi kubaki nyuma napenda nitumie vitu latest labda hardware ya mashine ikatae. Binafsi mashine yangu ina Windows 10 pro na Linux Mint 18.3 Sylivia Cinnamon 64-bit hivyo Windows 10 huwa siitumii kwenye internet kwa sababu ya security risks kwa sababu kiukweli siyo genuine ninachofanya ni kuiupdate tu na sitaki ijue account zangu. Na hiyo Linux Mint ndiyo ninayotumia kwenye net maana haili bando sana tena siyo muhanga wa virusi maana watumiaji siyo wengi kama windows.
 
Maisha yatazoeleka tu, watumiaji wengi tulianza kutumia since win95 na zilipokuja versions nyingine tuliona tabu kweli...

Mfano, changing from XP to Vista ilikuwa ishu kidogo maana hata steps za kuinstall windows zilikuwa so different...

Lakini maisha yalizoeleka na hata mabadiliko ya sasa yatazoeleka tu...
 
8.0 mbona ipo vizuri wakuu, au tunatofautiana maujuzi maana nimetumia 7 ilipoingia 8 nikahamia 8 mazima.

Utamu upo 8, 10 nimejaribu siojaona utamu nimebaki 8 mule mule huu ni mwaka 7
 
Back
Top Bottom