Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

Awamu hii imeporomosha michepuko kwa maelfu. Miaka minne ijayo tutakuwa kama MADINA ama VATICAN full kusali. Chezea Ukata wewe, hata nguvu ya kuttongoza huna. Asante Yohana Mbatizaji.
 
Narudia tena Binamu zetu msishtuke tukiomba kuweka kituo cha muda hapo kwenu hali yenyewe si mnaziona!!
 
Uchumi ukitaiti imani inaimarika, mambo yakiwa poa ni mwendo wa vipara tu mwanzo mwisho
 
wakuu mambo yamebana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. yaani biznes haziendi kabisa, but wacha tukomae tu. asante baba j.
 
Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;

1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)
2. Ununuzi wa Gari ama gharama za TAXI
3. Pesa ya Saloon.
4. Michango ya harusi (including marafiki zake)

Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.

NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia

Bcc...#team_Mafisi#
Ni kawaida ukiwa na mchepuko pesa lazima ikutoke. kwasababu ww ni mume wa mtu unafamilia yako tayari kamwe hutaweza kujenga future na mim.kwann nisikuchune sasa.yan nikae tu nakuangalia kama video. vizinga lazima hata kama sina shida ntakuchunua tu. kwanin unifanye mim choo cha kumwaga hayo madude yako uku mke unaye wa kummwagia
 
Kumbe ndio mana unapenda waume za watu.
 
Wandugu michepuko ni mashetani yanayotembea na yenye lengo moja la kukumaliza ukiwa unajiona.
 
Je, haya ni sehemu ya mafanikio yasiyoonekana kwa wazi ya awamu ya tano?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom