Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;

1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)
2. Ununuzi wa Gari ama gharama za TAXI
3. Pesa ya Saloon.
4. Michango ya harusi (including marafiki zake)

Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.

NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia

Bcc...#team_Mafisi#

UPDATE#23.11.2016
Aiseee mpaka leo nimesave 5m na nitajipongeza kwa kupandisha nyumba yangu angalau ifike kwenye lenta.
Michepuko Nuksi
kuna mchepuko ulishawahi kunifanya nikauza hadi kianja changu kizuri kweli tena kilikuwa karibu na barabara. yaani ninyi wanawake ninyi! Mungu anawaona.
 
kuna mchepuko ulishawahi kunifanya nikauza hadi kianja changu kizuri kweli tena kilikuwa karibu na barabara. yaani ninyi wanawake ninyi! Mungu anawaona.
Pole bro kwa kuuza kiwanja. Mimi nilichukua mkopo NMB Tsh.32m yaani mchepuko kama ulinusa vile. Tukaanza kufyonza pamoja kuja kustuka nina laki 4 kwenye akaunti yangu
 
Tatizo lako ulikuwa ulikuwa unachukuwa michepuko iliyokuwa eidha mama wa nyumbani au wakusoma ndio maana ulikuwa unaingia gharama zote hizo. Mimi sasa hivi nimebaki na mchepuko mmoja tu ambao unajishughulisha na tunalea katoto ketu. Maisha yanaenda sina pressure wala hofu anaheshimu ndoa yangu pia.

Umesema vema sana. Kuamua kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye maisha yake atakutegemea wewe ni ttz kubwa. Maana kila kitu atakuomba, hiyo haifai. Chukua mwanamke ambaye anajishughulisha asije kukusumbua badae. Mapenzi hayana uhusiano wowote na kuhudumia mtu na kumgharamia maisha yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom