Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

babu zetu walikuwa wababe kichizi na mipango mingi anamjengea kanyumba anamsomesha mtoto basi... sasa usomeshe, umtoe out aje na lundo la watu, harusi kila harusi anataka gauni jipya mtajuta.. zaidi mama zetu wamelea hao watoto wa michepuko huku mchepuko ukiwekwa pembeni now days mchepuko unalea wenyewe na matumizi upeleke kutunza familia mbili unafikiria mchezo achilia mbali familia ya wazazi wako
Michepuko haitaluelewa...
 
Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.

NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia
Kuna thread moja ulikuwa unaisifu michepuko ya Corner Bar, kama umeamua kuachana nayo basi hii ni habari njema.
 
Mtaji ya maskini ni nguvu zake mwenyewe, mchepuko ukiupa mambo sawasawa utakuwa unauendesha unavyotaka wewe,ukileta hadithi unatishia kujitoa uone atakavyokubembeleza,hela atachukua kwa mwingne wewe kisela tu.
 
Hapa ni kuwa hatupendi kufikiri na ndicho kinatupelekea kutengeneza matatizo ndani ya familia zetu then kukimbilia kwenye uanzishwaji wa michepu badala ya kutatua matatizo. Ndio maana unakuta familia zilizo nyingi hapa vision yake inaishia pale mtoto atakapoenda sekondari na hakuna anayewaza kizazi kinachofuatia. Ndio maana kwa wale wa dini inayoruhusu hawapotezi pesa nyingi kwenye haya mambo kwa vile anatambulisha tu!
Wanawake wanajulikana ni complex creatures na kuweza kuwamudu ndio maana ya kuwa mwanamme wa kweli!
Nyie wote ni watu mnaojadili msichokijua. Kwanza you have no balls za kuchepuka. Experience is the best teacher.
samahani hivi unatubu au unasimulia..??
kama unatubu kuwa umeacha nenda kwa mkeo umuombe msamaha
Ukiona msg toka kwa mchepuko kabla ya kuifungua inabidi ucheki una sh. Ngapi mfukoni. Inatisha zaidi ikianza na neno tamu kama baby basi hapo hakika ni kizinga.
 
Michepuko mingi ina STRESS so wewe unakuwa STRESS ABSORBER. Na ATM
 
Biblia imeandika kamwe usitamani mwanamke wa mtu mwingine,wewe umeoa huko nje ulifuata nini kama sio kujitia umaskini wa mawazo na uchumi.?
 
donbeny nimeacha rasmi sitatamani tena aisee. Bora niiponye roho yangu na PESa zangu
 
ha ha ha ha ha Magufuli kweli Kanyoosha watu, WENYEWE WANARUDI NDANI YA NDOA ZAO, NA KUONA UMUHIMU WA KUSAVE....Asante baba Magufuli, Sasa hivi Mnatii amri/sheria bila kushurutishwa😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Ukiwa mvivu kusaka jiwe italeta dag ila kama unakaza mbna fresh tu.nyumban huwez funga hat tirk ila mchepuko hata goal 5 una score 2
 
Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;

1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)
2. Ununuzi wa Gari ama gharama za TAXI
3. Pesa ya Saloon.
4. Michango ya harusi (including marafiki zake)

Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.

NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia

Bcc...#team_Mafisi#

Unakumbuka shuka kumekucha? hata hivyo hongera mwayego baki njia kuu michepuko siyo dili.
 
michepuko sitaki tenaaa bora genye zangu nipeleke villas ni balaaa kubwa kuwa na mchepuko now nimeliwa kama em toka may hadi sasa nimepiga chini tarehe 08/08/2016 na tarehe 21 nimesikia kahama nilipokuwa nimempangia. yaani kila ukionana nae ni hela tu mara hiki mara kile mara hivi mara vile hadi kichwa kinauma na faida yake hakuna kwenye mapenzi haishi kukusifia unavyomfikisha mkimaliza anataka elfu 20 ya saloon.mshahara wako mia saba yeye peke yake anatumia mia tatu na nusu mbali na kodi.
Ha ha ha ha hapana chezea michemkoooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom