Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

samahani hivi unatubu au unasimulia..??
kama unatubu kuwa umeacha nenda kwa mkeo umuombe msamaha
Ni kosa kubwa sana kukubali kuwa umechepuka, tena ujiseme mwenyewe bora kukaa tuu kimya unaweza ukasema unaomba msamahaa alafu huyo mkeo akabaki na kinyongo na kutaka kukulipiza
 
Nadhani mchepuko at some point kwny ndoa ama mahusiano yoyote una faida zake,kupunguza tension na kukerana ndani ya ndoa
muhimu both parties wajue tuko ktk kuchepuka hence no expectations, na kuwe na limits mf.no kuzaa, no wivu wa kijinga,no public showups,no simu za hovyohovyo mana kila mtu ana official partner
 
michepuko sitaki tenaaa bora genye zangu nipeleke villas ni balaaa kubwa kuwa na mchepuko now nimeliwa kama em toka may hadi sasa nimepiga chini tarehe 08/08/2016 na tarehe 21 nimesikia kahama nilipokuwa nimempangia. yaani kila ukionana nae ni hela tu mara hiki mara kile mara hivi mara vile hadi kichwa kinauma na faida yake hakuna kwenye mapenzi haishi kukusifia unavyomfikisha mkimaliza anataka elfu 20 ya saloon.mshahara wako mia saba yeye peke yake anatumia mia tatu na nusu mbali na kodi.
Maaamberegesi
 
babu zetu walikuwa wababe kichizi na mipango mingi anamjengea kanyumba anamsomesha mtoto basi... sasa usomeshe, umtoe out aje na lundo la watu, harusi kila harusi anataka gauni jipya mtajuta.. zaidi mama zetu wamelea hao watoto wa michepuko huku mchepuko ukiwekwa pembeni now days mchepuko unalea wenyewe na matumizi upeleke kutunza familia mbili unafikiria mchezo achilia mbali familia ya wazazi wako
Michepuko inarostisha sana hlf ogopa zaidi akijua umeoza kwa kumpenda, asante Mungu yule mchepuko wangu amenipiga chini kwa ubahili wangu anajua amenikomoa kumbe ndio kapiga chura teke maana hata mimi nilikuwa namtafutiaga sababu tu hahahaaaa....
 
Tatizo lako ulikuwa ulikuwa unachukuwa michepuko iliyokuwa eidha mama wa nyumbani au wakusoma ndio maana ulikuwa unaingia gharama zote hizo. Mimi sasa hivi nimebaki na mchepuko mmoja tu ambao unajishughulisha na tunalea katoto ketu. Maisha yanaenda sina pressure wala hofu anaheshimu ndoa yangu pia.
inategemea sasa maana wengine wanaweza kuwa na kazi lkn utakuta ana matumizi nyingi kuliko mshahara wake anataka kuishi maisha ya juu hatari hapo lazima utarudi nyuma kimaendeleo ndugu yangu, michepuko tupa kule.
 
michepuko sitaki tenaaa bora genye zangu nipeleke villas ni balaaa kubwa kuwa na mchepuko now nimeliwa kama em toka may hadi sasa nimepiga chini tarehe 08/08/2016 na tarehe 21 nimesikia kahama nilipokuwa nimempangia. yaani kila ukionana nae ni hela tu mara hiki mara kile mara hivi mara vile hadi kichwa kinauma na faida yake hakuna kwenye mapenzi haishi kukusifia unavyomfikisha mkimaliza anataka elfu 20 ya saloon.mshahara wako mia saba yeye peke yake anatumia mia tatu na nusu mbali na kodi.
Pole sana mkuu, ww unazungumzia em 1 wakati mimi sitaki ata kupiga hesabu maana naweza kupata presha gafla.
 
Jidanganye tuu, hujakutana na gold diggers. Na cha zaidi, mwanamke huwa hakomolewi. Pia ni mentality mbovu tuu iliyojengeka kwetu wanaume kuwa ukimt***mba mwanamke vizuri atakupenda kwa sababu hiyo pekee.

My brother hii n fake ideology, what makes mwanamke akupende siyo kut****na bali how you treat, care, listen, guide, and trust her. Those are few to mention. Then comes to f***king na kwa hawa wanawake wa sasa wa mjini utaongezea pesa na mali. Though kumt**mba vizuri huku ukiwa unavifanya hivyo vya juu ni bonus advantage kwani atakupenda mara dufu.
Uko sahihi sana mkuu, hata usimamie kucha namna gani bila huduma inayoeleweka huwezi pendwa hata kidogo.
 
Nadhani mchepuko at some point kwny ndoa ama mahusiano yoyote una faida zake,kupunguza tension na kukerana ndani ya ndoa
muhimu both parties wajue tuko ktk kuchepuka hence no expectations, na kuwe na limits mf.no kuzaa, no wivu wa kijinga,no public showups,no simu za hovyohovyo mana kila mtu ana official partner
Bila shaka ww ni mzoefu, vp kuhusu mwanaume kufilska kiuchumi?
 
Ss hapo inategemea anatoka na nani..akiwa standardless person bas free P tu hainaga gharama,akipata shangingi mhhhh
muhimu ukawa unambana suruali sana ndani na majukumu kuhakikisha anatimiza ili hata ya kuhonga iwe ndogo...na hata akihonga bas ndani mnaishi vzuri tu...
 
Mimi sio 'ke' mbona kama waniambia as if mm ni ke mwenzako? anyway standard less ndio wa namna gani huyo?
 
Ni kosa kubwa sana kukubali kuwa umechepuka, tena ujiseme mwenyewe bora kukaa tuu kimya unaweza ukasema unaomba msamahaa alafu huyo mkeo akabaki na kinyongo na kutaka kukulipiza
We chati ovyo ovyo tu na naenda kumwambia uliyoyaandika humu
 
Michepuko inarostisha sana hlf ogopa zaidi akijua umeoza kwa kumpenda, asante Mungu yule mchepuko wangu amenipiga chini kwa ubahili wangu anajua amenikomoa kumbe ndio kapiga chura teke maana hata mimi nilikuwa namtafutiaga sababu tu hahahaaaa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom