Wombolombo
Member
- Nov 27, 2012
- 96
- 20
Kweli kuna type za michepuko mingine mhh! michungu hata Chloroquine inautamu, binafsi nilipitia huko nimepunguza sana natafuta wa kubaki na mmoja wa kumsugua mgongoni....
Mkuu Blessings michepuko ni hatari sana mm nimeachana nao since September 2016 ninajiona mwepesi sana maana matumizi ya mchepuko ni noma sana:-Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;
1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)
2. Ununuzi wa Gari ama gharama za TAXI
3. Pesa ya Saloon.
4. Michango ya harusi (including marafiki zake)
Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.
NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia
Bcc...#team_Mafisi#
UPDATE#23.11.2016
Aiseee mpaka leo nimesave 5m na nitajipongeza kwa kupandisha nyumba yangu angalau ifike kwenye lenta.
Michepuko Nuksi
Mkuu huyo usimpongeze yeye kaficha kichwa ktk mbawa zake kama bata anavyofanya huku mwili upo nje karibu n bomu linalokaribia kulipuka. Asubiri tu migogoro ktk familia yake.hongera mkuu
We mbona hauna aibu ya kuisaliti ndoa yako? Wajinga ndio waliwao.bora ukakamate miguberi kona baa, unapiga zako kisha unasepa, sio hii michepuko dude linakulilia shida mpaka kero. hivi hamnaga aibu nyiee
Lazima avune alichopandaMkuu huyo usimpongeze yeye kaficha kichwa ktk mbawa zake kama bata anavyofanya huku mwili upo nje karibu n bomu linalokaribia kulipuka. Asubiri tu migogoro ktk familia yake.
Kuna wale wameiga Kenya tunaita call girls,unapiga simu unatafuna unalipa fasta unasepa,itasidia kupunguza stress za njia kuubora ukakamate miguberi kona baa, unapiga zako kisha unasepa, sio hii michepuko dude linakulilia shida mpaka kero. hivi hamnaga aibu nyiee
Tueleweshe tafadhali..Nyie wote ni watu mnaojadili msichokijua. Kwanza you have no balls za kuchepuka. Experience is the best teacher.