Kama unaula vzur huo mchepuko sidhani kama ata kukomandi umpe huduma hizo. Piga mkia vzur kuepusha virungu visivyo vya msingi, na ukiona yuko hivyo still ujue hajakupenda
Hongera sana!Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;
1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)
2. Ununuzi wa Gari ama gharama za TAXI
3. Pesa ya Saloon.
4. Michango ya harusi (including marafiki zake)
Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.
NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia
Bcc...#team_Mafisi#
Bora ufuge mbwa atabweka kwa ulinzi huku anakula pumba kuliko mchepuko unatumia pesa nyingi then anajipamba.
Nadhan hapo haujaongelea mchepuko.Kama unaula vzur huo mchepuko sidhani kama ata kukomandi umpe huduma hizo. Piga mkia vzur kuepusha virungu visivyo vya msingi, na ukiona yuko hivyo still ujue hajakupenda
Hilo nalo neno! Kumbe R.I.P billionear alikuwa anakula mayai yake!Huko tunapoelekea tutatafuna dada zetu kama Bilionea (mareemu). Hakuna namna.
Kama ni kuacha aache kimyakimya.kama mwanaume mwenzio kwa nia njema kabisa nakushauri USIFUATE HUU USHAURI!
Kuchamba kwingi..........!!...let the bygones be..!
utakosa mke mkuu,au madhara yake yanaweza yasipone kabisa ndoani mwako.acha kabiasa mkuu
Aisee! Nilitaka kutoa comment kama hii sema umewahi. Very true mkuu!Michepuko yenyewe utaijua kwa comments zao.