Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

Tatizo lako ulikuwa ulikuwa unachukuwa michepuko iliyokuwa eidha mama wa nyumbani au wakusoma ndio maana ulikuwa unaingia gharama zote hizo. Mimi sasa hivi nimebaki na mchepuko mmoja tu ambao unajishughulisha na tunalea katoto ketu. Maisha yanaenda sina pressure wala hofu anaheshimu ndoa yangu pia.
Kwa hiyo mnaheshimu ndoa kwa kuchepuka???
 
Nyie wote ni watu mnaojadili msichokijua. Kwanza you have no balls za kuchepuka. Experience is the best teacher.
sawa lara 1 experience ukishahitimu unafuzu na kuacha unaenda mtumikia mkeo
michepuko tunajifunza vi-style vya ajabu na vya kutisha
kinga zinatupwa huko
tunabambikiwa watoto
mwishowe hutakiwi kuwa na WIVU kwani wanaume utakaowakuta 'Shemeji tunakulaga'
inabidi uwe mpole maana mnagongana hata wa5 mnaojuana bado usiowajua
tutapona jweli? au gonjwa halipo?
 
Km mke mmoja hakutoshi ongeza wa pili,3,mpaka4 km tu utakuwa na uwezo wa kuwahudumia wote ukishidwa baki na mkeo mmoja
Wanawake wamekuwa weng sana dunian kukataa sio rahis hata akijua unamke
 
  • Thanks
Reactions: irk
michepuko sitaki tenaaa bora genye zangu nipeleke villas ni balaaa kubwa kuwa na mchepuko now nimeliwa kama em toka may hadi sasa nimepiga chini tarehe 08/08/2016 na tarehe 21 nimesikia kahama nilipokuwa nimempangia. yaani kila ukionana nae ni hela tu mara hiki mara kile mara hivi mara vile hadi kichwa kinauma na faida yake hakuna kwenye mapenzi haishi kukusifia unavyomfikisha mkimaliza anataka elfu 20 ya saloon.mshahara wako mia saba yeye peke yake anatumia mia tatu na nusu mbali na kodi.
 
Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hiz ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;
1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka),
2. Ununuzi wa Gari ama gharama za TAXI,
3. Pesa ya Saloon,
4. Michango ya harusi (including marafiki zake),

*** Nimeachana nao toka Januari 2016 na sasa nime-save takribani milioni 2 na penzi kwa mke wangu limerejea asilimia zote.
NB: MICHEPUKO ni sumu kwa familia
Bcc...#team_Mafisi#
Nadhani wala hata hujui maana ya michepuko.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya michepuko na nyumba ndogo.

Michepuko na kodi za nyumba/ununuzi wa gari wapi na wapi??
 
Michepuko yenyewe utaijua kwa comments zao.
 
Kama unaula vzur huo mchepuko sidhani kama ata kukomandi umpe huduma hizo. Piga mkia vzur kuepusha virungu visivyo vya msingi, na ukiona yuko hivyo still ujue hajakupenda
 
Kwa mtazamo wako na kwa uelewa wako nadhani jibu tayari unalokichwani unachohitaji ni uthibitishi kutoka kwangu.
Na mimi nakujibu tu kuwa hivyo ulivyowaza ndivyo jibu langu lilivyo.
nakuelewa kabisa...
 
samahani hivi unatubu au unasimulia..??
kama unatubu kuwa umeacha nenda kwa mkeo umuombe msamaha

kama mwanaume mwenzio kwa nia njema kabisa nakushauri USIFUATE HUU USHAURI!
Kuchamba kwingi..........!!...let the bygones be..!
utakosa mke mkuu,au madhara yake yanaweza yasipone kabisa ndoani mwako.acha kabiasa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom