Michepuko inafilisi

Tumia cost benefit analysis. Kama unachokigharamia sasa kinakidhi matakwa yako just go on remember there is no free lunch always
 
Tumia cost benefit analysis. Kama unachokigharamia sasa kinakidhi matakwa yako just go on remember there is no free lunch always
Kuna mmoja nilikuwa na malengo ya kumfungulia biashara kama angekuwa mvumilivu lakini mizinga imezidi hadi imenikaba koo
 
Mchepuko ni wa kuspend tuu. Anajua we una mke ye ni wa burudan ila mwisho wa siku unarud kwa mkeo. Na yeye hapo hapo ndo anatumia nafas ya kukuchuna kwel kwel
 
kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.
[emoji16][emoji16][emoji1787]kwanini msibaki njia kuu, utafikiri mmelazimishwa
 
Ha ha ha

Ila wanaume wana tamaa, hawaridhiki na K moja sijui kwanini?[emoji848]
 
Bi mkubwa umempa kila kitu, anaitwa Mrs Equation x...hii pekee inampa haki ya kila kitu ambacho kinahusiana na wewe, hata ungenimwagia mamilioni bado haitoshi kufidia hilo gepu
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…