Michepuko inaanza leo rasmi!

Michepuko inaanza leo rasmi!

demba muache achepuke tu kana kwamba misina nyongo.wala usimtafute kaa kimya kurudisha hadhi yako
 
Mimi nina kibali cha kuangalia mechi zote hadi fainali, nimekodishiwa Lodge ya karibu na nyumbanio kwa zile mechi ambazo zitaisha saa kumi na moja asubuhi.....Nampenda Mke wangu hahhahahahahahhaaaa

Mpwa hakuna nafasi kwenye hio gesti nami nije?
 
Wachepuke tu.Kila siku wanapigiwa makelele wala hawasikii achana nao hao tpaul.walishindwa bibi zetu sie tutawawezea wapi?
Mtuwache tutambae kwa raha zetu, mnajua hii ngoma huwa inapigwa kila baada ya miaka mi-nne. Kipindi mhimu sana kwa wana wa kiume!.
 
mmmh wala siwaamini nyie wote mtu na babake ni vibaka...mwaweza kula deal moja....kwani mbona familia yetu kubwa tu kwanini tusiangalie wote nyumbani mimi, wewe Kaizer na mkwe wetu Bantu lady?

Mama,yaani tv yetu imeungua jana!
 
Last edited by a moderator:
Mama Ngina eti amenunua king'amuzi eti niangalie mpira hapa nyumbani, tena kwa sreen ndogo ya chumbani. Mimi nikamuuliza washabiki wako wapi? Maana mpira unanoga panapo kuwa na mashabiki kwa kila timu pinzani. Amebaki kakodoa macho!'@%#-=
 
Aende tu,tena akinogewa aseme kashinda ticket ya kwenda Brazil kabisa ili ahamie huko huko!!!

Na akiondoka nawe ndipo upate wasaa muafaka wa kuchepuka--ngoma drooo!!!!!!! hahahahahaha!
 
Mama Ngina eti amenunua king'amuzi eti niangalie mpira hapa nyumbani, tena kwa sreen ndogo ya chumbani. Mimi nikamuuliza washabiki wako wapi? Maana mpira unanoga panapo kuwa na mashabiki kwa kila timu pinzani. Amebaki kakodoa macho!'@%#-=

Hahahahahahaha! Unalo....na ole wako uondoke home, utafute kabisa mtu wa kukufungulia mlango pindi ukirudi maskani!!!
 
Last edited by a moderator:
Mama Ngina eti amenunua king'amuzi eti niangalie mpira hapa nyumbani, tena kwa sreen ndogo ya chumbani. Mimi nikamuuliza washabiki wako wapi? Maana mpira unanoga panapo kuwa na mashabiki kwa kila timu pinzani. Amebaki kakodoa macho!'@%#-=

Usijali. Timu pinzani watakuja kumpa kampani wala hatakodoa tena macho
 
hahah na wife siku akiondoka na kibeg usipanick kutakua na mech

Kwani kuna world cup ya netball? Halafu yeye si mpenzi wa michezo kama mimi? Na michezo anayopenda haihitaji kwenda viwanja vya nje!
 
Duh weldi kapu inabidi iwe miezi mitatu mweeeeeee nimerudi asubuhi hii na amani ipo nyumbani ni vile nawasilisha matokeo tu,Brazil nipeni raha mie msimu huu wa kuchepuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom