Michepuko inaanza leo rasmi!

Michepuko inaanza leo rasmi!

wacha wajidanganye wenyewe tu bana..sie tutawachunga kama ng'ombe tutaweza wapi?

Si ndo hapo??? mara ngapi wababa wanazima simu kwamba wanaingia kikaoni kumbe wamejipumzisha Hotelini.
 
my son nimemwambia kabisa mkeo Bantu lady ukichepuka tu aniambie nikushughulikie....

Mama mkubwa DEMBA basi kama una wasiwasi na mwanao basi twende na baba Kaizer!

Baba mkubwa Kaizer,kombe la dunia linaanza naomba tuwe tunaenda wote kuangalia,kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 10 usiku,ila kuna mechi zinaanza saa 10 usiku,basi mpaka saa 1 asubuhi
 
Last edited by a moderator:

Hheheheheheheheheheh........loh
 
Last edited by a moderator:
Mama mkubwa DEMBA basi kama una wasiwasi na mwanao basi twende na baba Kaizer!

Baba mkubwa Kaizer,kombe la dunia linaanza naomba tuwe tunaenda wote kuangalia,kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 10 usiku,ila kuna mechi zinaanza saa 10 usiku,basi mpaka saa 1 asubuhi
mmmh wala siwaamini nyie wote mtu na babake ni vibaka...mwaweza kula deal moja....kwani mbona familia yetu kubwa tu kwanini tusiangalie wote nyumbani mimi, wewe Kaizer na mkwe wetu Bantu lady?
 
Last edited by a moderator:
Wachepuke tu kwa raha zao.ila kumbukeni mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom