Michepuko inaanza leo rasmi!

Michepuko inaanza leo rasmi!

Hahaaa, nimeipenda hii. Ila mi nitasema tumepewa offer ya kuangalizia mpira hotel, mens only bila wake zao maana wataharibu ushangiliaji!

Hamna jema,hata mke akijitolea kulipia Premium ili uangalie mechi zote home utadai bila company hainogi,akikuruhusu ukaribishe marafiki atakoma hizo kelele na hiyo sebule itakavyofanana!!!
Muende tu!!
 
hapana hapana kuna ruhusa zinatolewa faster faster na rejareja hapana hapana I say no siendi nitatizamia nyumbani aiseeee, kha!!

Ndio dawa yenu mtu kutojali tu!
Hata mechi zikiisha saa 4 wewe ukarudi saa 6 huulizwi,utajiongeza tu!!!
 
seems kuna point hapa eeeh, umenishtua sana, nimeghairi siendi

Tena shtuka haswaaa!!! Elli asikuambie mtu mapenzi yanauma haswaaa!!,mtu anakupa ruhusa kirahisi rahisi hivyo na anakusapot usirudi kabisa ahhaaaaa wapi!!! hapendwi ntu hapo!!!!!!!!!!!!!!!! stuka kuna nyuma ya pazia hapo!!!.....
 
Last edited by a moderator:
hawachungiki bali hujichunga wenyewe!utamchunga asiende kuangalia mpira je akisafiri utafuatana nae kila aendako?isitoshe aliyekwambia michepuko ni usiku tu nani?namjua prof mmoja akiwa na vipindi mchana anachepuka asb and vice versa.saa kumi na moja kafika kwa mkewe!mkewe full kujisifia mume katulia!tunayemjua tunasikitika! kamwe usijidanganye na mwenye miguu miwili na nusu!
 
Hamna jema,hata mke akijitolea kulipia Premium ili uangalie mechi zote home utadai bila company hainogi,akikuruhusu ukaribishe marafiki atakoma hizo kelele na hiyo sebule itakavyofanana!!!
Muende tu!!


Hasa hasa ile mechi ya saa kumi usiku, naenda kulala karibu na eneo la tukio..
 
my son nimemwambia kabisa mkeo Bantu lady ukichepuka tu aniambie nikushughulikie....
Hahahaaaaa,tena imebidi jana ki tv changu nikipigishe short kiungue ili niweze kupata nafasi ya kutoka!Mpira nyumbani haunogi wala nini!Jamani tunaangalia mpira sio kuchepuka!!Hahahaahaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom