INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

my customers my pride šŸ˜.tuna discount pia kwa baadhi ya Miche.karibuni
 
Ni muhimu kuzingati Spacing wakati wa kupanda Miche.
Kama unapanda Miche ya matunda pekee,basi angalau umbali kutoka mche mmoja hadi mwingine iwe 3m.
Kama utachanganya Miche ya matunda na mbao, spacing iwe 6m
 
1000063051.jpg
 
Je miche ya parachi has ipo na je kwa apa moro inastawi na itoa matunda mazur kama ilivyo njombe,iringa na mbeya?
 
Ndio,para
Je miche ya parachi has ipo na je kwa apa moro inastawi na itoa matunda mazur kama ilivyo njombe,iringa na mbeya?
Ndio,Miche ya Hass ipo na kwa case ya Morogoro inategemea na mahali au eneo unalotaka kupanda.
Hass inafanya vizuri kwenye ukanda wenye baridi,miinuko na mvua za uhakika
 
Wakati huu wa mvua nyingi,Miche huwa inapata ukungu,hivyo ni vizuri kukagua Miche mara kwa mara Ili kuweza kuchukua tahadhari mapema endapo tayari imeadhirika na ukungu.
 
Msimu huu wa sikukuu tuna ofa kwa ajili ya wateja wetu.
Karibuni sanan
 
Endapo unataka kupanda Miche ya miti ya matunda pamoja na Miche ya miti ya mbao katika eneo moja,Basi ni muhimu kuzingatia umbali kutoka shimo moja hadi shimo lingine lakini pia kina,urefu na upana wa shimo.
Lakini pia ni muhimu kupata ushauri wa aina gani inafaa kuchanganya Ili kupata matokeo mazuri.
 
Most welcome my lovely customers,watu niwapendao zaidiā¤ļø
 
Tunapo hitimisha msimu wa sikukuu,usipitwe na offer zetu.
Kuna punguzo la Bei lakini pia kuna discount kwa baadhi ya miche bila kusahu bonus šŸ’š
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom