INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

1000112958.jpg
baada ya ku-pack Miche kwenye parcel,Miche hiyo inakuwa labelled ili kumrahisishia mteja kuweza kuitambua Miche hasa kwa Miche ya jamii moja.
 
Mniwie radhi wale wateja ambao nilishindwa kuwahudumia ipasavyo,kushindwa kupokea na kujibu sms zenu kwa wakati n.k,Nilipata msiba wa baba yangu mzazi 4/6 hivyo sikuwa na utulivu kabisa.
Kwasasa Mungu anaendelea kuniimarisha.Karibuni kwa ajili ya kuweka oda,kupata majibu ya maswali lakini pia ushauri.

Asanteni
 
Pole sana ndugu yangu.
 
Pole sana kiongozi... Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Mniwie radhi wale wateja ambao nilishindwa kuwahudumia ipasavyo,kushindwa kupokea na kujibu sms zenu kwa wakati n.k,Nilipata msiba wa baba yangu mzazi 4/6 hivyo sikuwa na utulivu kabisa.
Kwasasa Mungu anaendelea kuniimarisha.Karibuni kwa ajili ya kuweka oda,kupata majibu ya maswali lakini pia ushauri.

Asanteni
Pole sana
 
Embe gani tamu kuliko mengine yote unalimiliki hapo ofisini kwako? Ile mbegu ya minazi mifupi bado unayo?
 
Kwa upande wangu,embe tamu zaidi ni red Indiana,apple mango na tommy.
Minazi ya muda mfupi ipo boss.
Bei 10000
 
Nilitamani pia kufahamu hapo SUA mnapatikana Kampasi ipi? Main campus au Mazimbu? Kwa mteja anayetokea Mkoani anafika vipi mlipo?
 
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.

View attachment 1557232

View attachment 1557234

View attachment 1557237

View attachment 1557239

View attachment 1557240

View attachment 1557242

View attachment 1557243

View attachment 1557244

View attachment 1557246

View attachment 1557247

View attachment 1557248

View attachment 1557249

View attachment 1557250

View attachment 1557251
Haya ndio mambo nayapenda, job well done 👍
 
Nilitamani pia kufahamu hapo SUA mnapatikana Kampasi ipi? Main campus au Mazimbu? Kwa mteja anayetokea Mkoani anafika vipi mlipo?
Main campus boss.
Kwa mteja ambae ni mgeni kabisa,Kutoka stendi kuu ya mabasi(Msamvu) mpaka SUA main campus unaweza kupanda boda au bajaji,utamuambia boda akupeleke SUA, Horticulture section.Kuna mawasiliano pia ya ofisi hivyo mteja atakuwa anaelekezwa Kila hatua mpaka anafika vilipo vitalu
Karibu sana,nitafurahi kukuona siku moja.
 
Katika kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa(04/08) nitatoa offer kwa wateja wawili,wakiwa Morogoro itakuwa bora zaidi.
Wateja hao nitawapatia Miche 5 Kila mmoja for free,watachagua aina wanazohitaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom