chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,569
- 28,484
Unamshauri mtu miti gani ya kupanda na kwa mpangilio gani katika kiwanja chake ambacho bado hajaanza ujenzi?Karibuni wapenzi wangu
Unamshauri mtu miti gani ya kupanda na kwa mpangilio gani katika kiwanja chake ambacho bado hajaanza ujenzi?Karibuni wapenzi wangu
Mbegu gani ya cocoa ni bora kibiashara kwa mazingira yetu ya Tanganyika?.na mche mmoja mnauzaje?.ikiwa nahitaji ya kupanda heka 5 mtaniuziaje?Karibuni wapenzi wangu
Dragon fruit mnayo?. Shilingi ngapi?
Miche ambayo itafaa mizizi yake haiendi mbali,Miche ambayo hainyonyi maji mengi ardhini.Unamshauri mtu miti gani ya kupanda na kwa mpangilio gani katika kiwanja chake ambacho bado hajaanza ujenzi?
Mwezi wa kumi nakuja farmer training centre. Baada ya training nitakutembeleaNdiyo boss.
Sh 10000/= karibu
Miti hiyo ni ipi? Unayo na unauza bei gani?Miche ambayo itafaa mizizi yake haiendi mbali,Miche ambayo hainyonyi maji mengi ardhini.
Miche ya matunda na kivuli ni bora zaidi
Ni matunda ya aina gani haya! Tuwekeeni na picha ikiwapendezaDragon fruit mnayo?. Shilingi ngapi?
Ni matunda ya aina gani haya! Tuwekeeni na picha ikiwapendeza