Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,809
- 4,880
Nitakuyafuta maana nahitaji ku devide baada ya kupata ushauriAsante pongezi.
Kwa Miche kadhaa Bei ziko updated na Miche mingine Bei Haina badilika.
Kwa Miche ambayo Bei imebadilika huwa nina leta hapa taarifa,ila kwasasa inaweza kuwa ngumu kuona sababu pages zimekuwa nyingi.
Labda unitajie aina ya mche/Miche unayo hitaji then nikutajie bei