Michano ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,411
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.

Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
 
pesaa..mbesa..doar...ilyongo..mapene..money...mavumba..mpunga
 
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.
Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
 
Kilainishi ni mkwanja a.k.a ngawira!Kama huna mkwanja jifungie tu gheto kama mimi.
 
uroda gharama mkuu
hujaingia gharama anapita kweupe na mtemi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom