Michano, Punch lines special thread

Michano, Punch lines special thread

wanaibuka watoto wasiojua maana ya mziki/
na usela wa misokoto michosho kwa mashabiki/
 
Sikupenda alivyonitreat/hakupenda nilivyomcare/sikupenda alivyonikiss/haku enjoy nilivyo mkwea(Dah bora tumeachana)
 
Muda hausimami masaa yanapita/
Maisha ni muvi ya kila siku na mi star kwenye picha/
One[rap science]
 
WASANII WANACHEKESHA KAMA
PICHA ZA KATUNI FEATURE YA
BAFUNI//
VESI IMESIMAMA UTADHAN MPGA NYETO KAONA PICHA YA SABUNI//


huyu Stereo ni Father wa rap
 
Dah, Tabia kweli ndo wewe?/
Wakuninyima Jicho tu nakumpa bwana Gewe?/

Nash Mc katika wimbo wake Tabia.
 
Last edited by a moderator:
Demu wako akikuita special jua kuna mtumba/
Uchawi pesa hakuna cha tunguri wala ndumba/

Niki Mbishi katika ngoma yake Michepuko
 
Kwetu kumekucha, kwenu kuna giza/
Nitaongea na mshua, ili daslamu muingie kwa viza/


Madee Ali
 
WASANII WANACHEKESHA KAMA
PICHA ZA KATUNI FEATURE YA
BAFUNI//
VESI IMESIMAMA UTADHAN MPGA NYETO KAONA PICHA YA SABUNI//


huyu Stereo ni Father wa rap

WASANII WANAIGIZA KAOLE CD DUKANI//KINA DADA WANAIGIZA ULOKOLE MIILI BUCHANI-B Boy Stereo.
 
Naongea lugha zaidi ya mbili niite mkalimani,wew unaloga nakuita karumanzira..!!
 
Unapata ulichoandikiwa mungu hakupi kama hataki,hata ukipora itapotea ili mradi yatimie maandishi
 
Dah, Tabia kweli ndo wewe?/
Wakuninyima Jicho tu nakumpa bwana Gewe?/

Nash Mc katika wimbo wake Tabia.

Unadai kwamba nimeshuka kiwango/nilikua mjeshi lakini sasa ni mgambo....TABIA
 
Last edited by a moderator:
WASANII WANACHEKESHA KAMA
PICHA ZA KATUNI FEATURE YA
BAFUNI//
VESI IMESIMAMA UTADHAN MPGA NYETO KAONA PICHA YA SABUNI//


huyu Stereo ni Father wa rap

Tungo Tamu ka mapaja ya kike,nakuvua ufahamu kwa watu timamu uaibike..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom