Michano, Punch lines special thread

Michano, Punch lines special thread

Dogo janja usigome kama TUCTA / huwezi ku-manage kwa ganja kama vipi kamsome GUPTA. (male marxist)
 
Angalia usiwe unazima moto usioweza kuuzima ukakuzima mazima
 
King Kong in da house minjingu we go harder// nipo na nitonye yes he's my brodda.
 
Last edited by a moderator:
Wanangu wa Moshi Tech, komaeni mtatoboa/
Msishindane na mademu, mapedeshee watawahonga Noah/
 
Tunzo nzito kama behewa la mizigo/
Mi ni bia nzito, mlevi na mnywaji mjichunge na figo/
 
na sijiwezi kama snitch anaeropoka/
dada ako aniita plasma nina inchi za kutosha/


illimatix
 
wnaniita boko haramu/
nawateka dada zao kwenye soko la mamu/

nikki mbishi
 
tunajikinga japokuwa wanamind kuzaa na sisi...... wanathamani ya diamond na tunawabeba kwa freee
.... CNN hii
 
Mi nataka nikutoe out tukale ice cream/
Mwambie unatembea na sembo your night dream/
Sio rahisi ila itampasa kuamini/
Mwambie mkiucheza mchezo, unahisi kama naucheza mimi/
Kama akikuomba mtoke mwambie uko busy sana/
Kazi zinabana hauna mda usiku wala mchana/
Mletee mapozi, amwage machozi, visa vizidi/
Mfanye akuone demu wa njozi, akuote tena inapobidi/
Mwisho abwage manyanga/
Mwambie haukupenda muachane ila Mungu hajapanga/
 
Mwanza zao la hphop mapenzi TANGA/ lebo kapewa mkurya studio kumejaa MAPANGA/
 
Mnajigawa kwa makundi/
Lakini kumbuka malaya hachungwi/
 
Naishi kibosi na usanii HAUPOTEI/ natumia noti yenye sahihi toka enzi za MTEI.
 
Najionea maajabu, najionea mapya mama angu , hakuna mpenzi ya hivi kokote kwenye hii dunia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom