Michano, Punch lines special thread

Michano, Punch lines special thread

uzungu ukizidi uwafrika uzalendo utatoka wapi,maskini mvuvi wa ghalika daile navua mangua.....
 
Sijui ndio kusema nachofanya hakionekani/
ukiandamana kama chadema unakamatwa unasekwa ndani/
 
na ndoto za freemason naenda eti una chale ngapi/
acha nifanye shoo za laki hutaki nikale wapi/
 
jitihada kubwa matokeo hakuna/
sikukuu ikifika watoto wanataka skuna /



msuli tembo matokeo sungura kamuulize nikki mbishi alimaanisha nini
 
#Wasanii wanauza sura sie tunauza Maneno kurap wanarap hata waimba mayeno

Kama nabii niliyejituma, nitawafunza ya upole na ya huruma
Afrika Bado Ipo nyuma
mpaka ivunjwe mipaka, tung'oe vibaraka
na tuzike matabaka
nikisema niseme kweli manjagu watanisaka
natamani kutoa sadaka, mifuko ina viraka
Kama mnataka wepesi mshike huu waraka
natambaa Kama ukoka, majani nimeshang'oka


Kala Pina ft. Deo - Dira
 
Sijui ndio kusema nachofanya hakionekani/
ukiandamana kama chadema unakamatwa unasekwa ndani/

wametuacha mbali na zao serikali
wakiunda magari, serikali yako inaunda leseni

joh makini
 
ndoto siyo kukaa maskani kulialia
ila kutoka nduki na kuzikimbilia
i see meeee internationally
 
Wana gubu la roho
Maskini wa nafsi wivu wa choyo
Wachafu kama kamasi
Nawapenga fyuuu nawatupa kwenye nyasi kuishi na watu sasa basiii
 
chunga natunga somo nisilofeli
bongo uchumi unayumba ka mdomo wenye kuberi
 
Napopita gangster, msipagawa wachumba/mwili nyumba nabeba gari sita na dole gumba...
 
Nakata kama knife life yangu inawaboa/
rap ndiye my wife daima sitalala nje ya ndoa/

singa singa
 
nina machale kama kambale mkuu na usilale true/
rap ni umalaya nami ni malaya niliyekubuu/

singa singa
 
Kuwa keki ka jokete na unadate na mimi/
na una namba za kila mganga kama ume mess na jini/


singa singa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom