Lyrically commit murder With no probable cause/
A Rebel of course, Ukonga's Finest, they Labeled me boss/
Higher than a cockpit, Huwezi level hii cross/
Plus in savin hip hop they be countin me for it/
Bilingual beast-wakazi
Rafiki wa kweli yukoje... ni mkimya au anayechonga/
Yule aliyekupa jina?au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?/
Au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka?/ Hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui.. ka yupo nawe.. au yupo kinyume na wewe/
For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey/
Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee/
Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari/ ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari/
Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari/ kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali/
Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi/ unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi/
Kwa wanaoread between the line wagoogle hiyo verse ya kwanza
Kwa kupost picha Insta hilo mnaongoza utasikia mjengo wangua mpya kumbe umepanga unajiongeza
Nasikia daily mko gym eti mnatakunua vifua wakati mkirudi makwenu wengi wenu mnajichubua.
Sibora sisi unga kuliko nyie maaa................hamna stly, hamna,swagga wala hamjui kutunga
kwakuongeza sifuri kwahilo mnaujasiri hata fidodi ya milioni mbili utasikia milllioni miambili sheeeee!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.