Michano, Punch lines special thread

Michano, Punch lines special thread

Unafagilia mashoga we ni a.k.a OBAMA/ mla nyasi na mla poda yupi ni a.k.a MNYAMA/ (unju bin unuq)
 
peleka kitanda batani kama unapenda ukeshe baaa
sister du muda hausimami ata uivulie nguo saa.....

starmina
Yaani historia ya bongo hiphop inajiandika upya kupitia huyu dogo. Namkubali sana. "aliyewachorea ramani ya maisha maskini, peni ilimgomea njiani" na 'anataka kumwomba mungu but shetani anamzidi spidi". Hivi hawa jamaa wanatoaga wapi maneno yao??
 
Mziki umenipa Kazi
Wasi wa nini/
Kwa kazi makini
Cpitwi na wenye Kasi-Kazini/
one-incredible_wasumbufu wa kizazi
 
Mtoto teseka huu ubeti ni mama wa KAMBO/ nachafua jiji mithili ya mifuko ya RAMBO/ (Zaiid)
 
Amani kwa kaka Voda milionea/
mwambie Moe aache ushoga na umbea

Amani kwa kaka Voda Milionea/mwambie Moe nimeshaacha Poda na sili mmea

Langa R.i.p
 
Mziki wa kutoka kila siku mi nautunga/
Najua nitatoka haka kama wananiroga/

RIP Geez Mabovu.
 
Nakuchapa kwa mistari bwana mdogo ili UKUE/ nakung'ata mchana kweupe kama mbu wa DENGUE/ (Profesa jay)..
 
Hey, heard you were up all night/

Thinking about how your world ain't right/

And you wonder if things will ever get better/

And you're asking why is it always raining on you/

When all you want is just a little good news/

Instead of standing there stuck out in the weather/

Oh, don't hang your head
It's gonna end/

God's right there/

Even if it's hard to see Him
I promise you that He still cares/

Hold on just a little bit longer/

He knows that this is gonna make you stronger, stronger/

The pain ain't gonna last forever/

And things can only get better/

Believe me/

This is gonna make you stronger/
 
Maisha yangekua ya mkopo wangapi wangeclear MADENI/ bongo inauza gospel madee MKUMBUSHENI/ (b.boy sterio)
 
Gemu lina wenyewe we katuni unapaswa ngoja/
Chuki ya nini dhidi ya Mwewe wakati hujataga yai hata moja/

Sterio wa enzi za Tamaduni Music
 
Rajbeyzzle Forsheyzzle Literary-son >>>>> Dr3™93™93™93™93™9ah!!Wanao fikiria kuwa na me. Na me nafkiria kuwa nao6¾4 Japo masnitch nao. Wanafkir ya kwao6¾4 Tafuta changamoto. kisha jipe imani. Ukihis yamoto6¾4 kajitose baharin6¾4 Walikamata first nika rest wakapotea6¾4 Nipo wa first nawa clear kwenye chat6¾4 ""Nawaongopea"'Nawapa flow utam sweet kama cake6¾4""Wamenogewa""'¦Ã¦Å¦Á1ö51ö5..

>>> New soundtrack by me ft damas planet. tupia mail yako nkutumie au phone no. nikutumie whatsapp, thanks
 
Last edited by a moderator:
kichwa kigumu/ naskika nashika mpaka kisumu/me ni ndoo/ hakika huwezi wika kidumu/ umeshikwa na pumu/ pata stimu/ kwa picha ya ndumu/ ninapotoka huku ndipo shida ni sumu.
(by S.O.N.G.A songa)
 
sipigi kelele/utadhani sifiki kilele/ ni vipi ntajenga nchi ikiwa siishi milele

S.O.N.G.A namuelewa sana huyu jamaa
 
So broh let them die slow/ hii ni skyzone natema neno kwa kwa highflow/ mungu alinipa huyu ili nisiwe idle/ nisizunguke mbuyu bali niwe na bible/...
SONGA
 
Nipende nikupende tupendane/ sio unalike funs page yangu ili uje unitukane/ au mnataka nifanye kama dimpoz na Dai?/ nikate mauno richmavoko bolingo na ngai/?
BABA MALCOM
 
Mi ni staa wa billboard na msomi mwanafalsafa/
na slaa ka wilbroad hamuoni bado mnasafa/

Hii ni orijino ndo maana inasound kama demo/ enzi hizo gemu haikuwa orijino underground walikwemo/
 
Mungu hukubukwa kwenye shida broh/ hakuna mwizi wa kinyesi ila unalinda choo/
Songa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom