Jivike vyeo watu wenye vyeo wakuone ----- / nachokupa leo sio kimeo ka rasta za CHEGE / demu wa kusini mlaze machweo mchanue MATEGE / ni youngkila mjenzi wa leo nisie laza ZEGE. (msodoki)
Aliyenipa pumzi za bure ndo alinipa hiki kiburi ,ukizani naogopa nongwa bado hujanijua vizuri
Majibu ya kijinga kwa maswali ya kipumbavu,mi Nina mambo mengi mwana siwezi jibu kila kitu
Muombe mungu anikwamishe,nabisha hata Mimi aliniumba yeye,juhudi ndo zinatufautisha_,MwanaFa
Kumbatia uzalendo ukose hela ya kula/
mwenye chuki muoneshe upendo kesho ajifiche sura/
Dili bado magendo na mwendo bado wa chura/
ndio maana ya msuli tembo matokeo sungura/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.