Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,062
- 3,620
kuna kioo cha fasihi/
kioo cha jamii/
dogo janja ndio kioo cha madee/
SONGA
kioo cha jamii/
dogo janja ndio kioo cha madee/
SONGA
Aiseee naona mnachana tu naombeni kipande MO11
au labda hunipendi ndio sababu unanitema/
hupendi ninavyoatend alfajiri na mapema/
unaniacha stend njia panda nipo dilema/
kutwa sispend weekend kwako haijakaa vema/
au kisa silipuki daily mitumba midosho/
ukiniona huzuzuki sanasana unaona michosho/
bring bring sinyuki sina mvuto sitoki smart/
mrefu sio mfupi bora ningekuwa size ya kati/
au sikuvutii ndio maaana hunipi uthamani/
kioja ndani ya jamii na kwanza hatuendani/
pia hujisikii kuwa na kapuku kama mimi/
ambaye mswaki situmii sina hadhi ya kunyonya ndimi/
au mpaka mavumba ndio mapenzi yashamiri/
hata swala la unyumba mpaka kwa muda ufikiri/
au umepata mchumba mjanja tena tajiri/
sio mimi katumba mla ganja nisie na dili/
au sijui mahaba kitandani sikuridhishi/
sikuombi nakaba tendo la ndoa kwa ubishi/
siwezi kubembeleza kiupole au si mbishi/
au sijui kukuchombeza kileleni sikufikishi/
miss chagga nimeamua kukuimbia
Dah mkuu sembo huo ushauri wa kibabe sana!
tuki tuki tuki tuki tukitoa utani/
songa ni mwanaume wa shoka na nadhani/
ndio maana shoo za bure anatoa chumbani/
Mkuu hizi punch zinapatkana katika ngoma gani?
Karibuni wakuu hasa wadau wa hip hop katika kupeana punch lines zilizowahi kujenga siku yako kwa wasanii wa bongo/mbele.
ilitimatrx songa na fid q
"Mabishoo hali duni mana mnapenda vya dezo/mi nishafanya kila uhuni hadi kuvaa kondom mlegezo""WANASEMAJE?