Michano, Punch lines special thread

Michano, Punch lines special thread

Hii ni orijino ndo maana inasound kama demo/ enzi hizo gemu haikuwa orijino underground walikwemo/

Ukiwa fax ndani ya pure map/ ukimtoa duke maproducer wengi wa bongo pre mature cats/

mitaani sionekani kama jini/ dada ako anatamani kuwa na bwana kama mimi/
 
Mashetani yanagani kwa imani kama dini/ zao jipya hewani pole zama za tisini/
 
Hii ni siri yenye laana kama tupu ya mzazi/ kwa roho mkunjufu sitoruhusu utunduwazi/ sizungumzi na mwana na zungumza namba mzazi/ huu uzungu wa kuzaa ni kama ruzuku ya Jambazi/kumbuka! wema watoto wakwepe mkosi/ baba ananyumba ndogo kigezo kubwa haitoshi/anazuga anakupa sapoti yuda askaryoti/ pochi inashinda kwa mchumba bi kubwa ale karoti!/
ONE.
 
fikisha salama taarifa/kwamba songa na usalama wa maisha/ sala safi kwa usalama wa kanisa/ katisha sala kati huku usalama ndo umekwisha/naskia unalalama bila visa/nipo juu nawatazama bila viza
 
Usini-treat kama second class person, utakua umefanya first class mistake...fid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom