Michango yenu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michango yenu...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 4X4byfar, Mar 31, 2010.

 1. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hamjambo wapendwa,

  Najambo ningependa kupata michango yenu. Hivi mathalani mke/mume wamekasirishana ndani ya nyumba ikafikia kuambiana kwamba from now kila mtu ashike time zake wakati bado wapo kwenye makataba wandoa, wamefikia hatua ya kila moja kulala ubavu wake au separate room kabisa. Na haiwezekani kupata divorce mpaka pengine mke ajifungue (HII NI KWA NCHI ZA NJE NA SHERIA ZAO SIO TANZANIA) maana mme ndo kasema wa divorce wakati kosa ni lake la kudanganya then kwa hasira mke kamnasa kibao na kumbomolea simu yake!Hivi je, hapo haya yatokeapo ni sawa:
  -Mume kutoka hm tuu bila kuaga then kurudi manane yuko bwi.
  - Mke kusitisha kupika, kufua nguo za ndani za mwanaume.

  Naombeni samahani sana,naomba maoni na sio matusi kama wengine walivyo humu ndani.
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu nadhani hilo swala linategemeana sana,maana kama mke na mume mkiishi hivyo ndani ya nyumba hivi humo ndani itakuwaje mkuu??Mmeanza kuchoka mapema kiasi hizo???Mapenzi siku zote ni kusikilizana na kuelewana basi,

  Cha muhimu hapo jamaa akili makosa na awe wa kawaida mambo ya kuto kumrespect mke ndio matokeo yake hayo.Naona mwanaume kamchoka huyo dada.
   
 3. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ati she does what? its ok if this favor is returned
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu 4x4,hapo kwene color nadhani inaapply zaidi kwa wenzetu wazungu, kwa kwetu huku uswahilini ni tofauti kabisa...no comments kwa kweli...tusubiri wajuzi wa mambo watakuelimisha....japo hujaeleweka unataka ushauri wa nini hasa...samahani kama nimekukwaza
   
 5. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ucjali hujanikwaza mummy, unaweza kuweka mchango wako kutokana na mada yenyewe ukiisoma.
   
 6. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thnks N, ila sijakuelewa returned kwa nani sasa!
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Wameambiana na kukubaliana.

  ...si waliambiana na kukubaliana? haijalishi nani kasema.

  Ni sawa tu. Kama una doubt, rejea awali.
  WALIAMBIANA NA KUKUBALIANA. Haya mengine yote ni matokeo tu.
   
 8. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo kivipi
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Soma ulivyoandika awali...

  au mwenzetu unategemea nini matokeo ya ugomvi kama huo, kama mwenyewe ulivyoandika; waliambiana na kukubaliana kila mtu achukue ustaarabu wake?
   
 10. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimekosa la kucomments bse kawaida nauogopa ugomvi wa kuzabana makofi kama ukoma!
  na katika ndoa kila mtu kuchukua ustaarabu wake si solution na hata mume kurudi usiku akiwa amelewa je ananufaika nn hapo? nafikiri ni vizuri wanandoa wakajifunza kumaliza tofauti zao kiustaarabu
   
Loading...