Michael Jackson

weeee mtu Nyama za uso zimeorojeka kama "" uji wa mgojwa lakini still anajikuta kigoli"" hahaaa


Dogo tambua kuna picha za kutengeneza kumchafua mtu....tizama the same pics toka Instagram kisha rudi hapa. Hizi picha zimetengenezwa na huyu Hamisa mwenyewe (Mama Sabrina) ili watu waanze kumtajataja tena arudi mitandaoni kujadiliwa na wasio na akili.
 
We mi kunitukan bila sababu utanichukia aisee, tusichukuliane poa, huo utani wako wakazanie watu wengine usiniletee Mimi, yani we ujiheshimu cjui utakuja kubadilika lini na watu wanakuchora vibaya humu, spendi wehu mimi,
Kwani mkinichora nabadilika nini Bless ,watu mna mikwara aiseee haya raisi magu nimekuogopaa,,,watishe wengine sio mimi aisee walikuwepo wenzio walichokaa wakalala
Usiwe unaniqouye maana sijakuita hapaa
 
Mi hata sikutishi nakupa onyo tu kuwa na amani, mda mwingine maneno yanauma ila yanatakiwa yawe dawa, anza kubadilika na watu hawata kuchukulia poa, ukiwa na hekima na busara utayachukua maneno yangu,
Kaka angu mimi humu usinichukulie seriously kabisa haya mambo ni utani,wanaochukulia ukweli ni wapuuzi lazima watu maarufu wajadiliwe tu hakuna namna atakaechukulia personal atajidai ye ndugu wa zari atanitafuta akitaka
Pia usinipe onyo wakati najiunga jf nilikuwa na akili timamu kabisa we fata yaliyokuleta hayakufurahishi achana nayo,uwe na usiku mwema au mchana mwema
 
Dogo tambua kuna picha za kutengeneza kumchafua mtu....tizama the same pics toka Instagram kisha rudi hapa. Hizi picha zimetengenezwa na huyu Hamisa mwenyewe (Mama Sabrina) ili watu waanze kumtajataja tena arudi mitandaoni kujadiliwa na wasio na akili.
duuuuhh "" nimeshakuwa Dogo "" thawa brother"" but hapa tunachangamsha genge tu "" hakuna ambaye yupo serious '' nashangaa kuona kuna wengine wamepanic kisa tu zari kasemwa"" huo Ni uzwazwa
 
Ana mazuri yake mengi tu kama Mama, CEO, GF etc Mama Sabrina mbona hamyasemi!? Uzee hauna mmoja yeyote atakayejaliwa maisha marefu na Mwenyezi Mungu uzee hawezi kuukwepa kwanini umri wake, muonekano wake ufanyiwe dhihaka!? Kumbuka wahenga walisema kabla hujafa hujaumbwa.


Safi sana mkuu BAK
Ni ajabu kuona eti binadamu mmoja anamdhihaki binadamu mwingine kua eti ni mzee!!

Hiyo ni safari ambayo wote ndio tuendako huko kama Mungu atatujaalia uhai mrefu,

Hizi chuki hazijengi,tufanye kazi na kutafuta good life,ukisha mdhihaki binadamu mwenzio tena eti kwa uzee unafaidika nini? Unakua na maisha mazuri?
Huyo unayemdhihaki anahasarika kitu?! Unaweza ukawa na muonekano mbaya kwasababu nyingi tu hata kama umri wako ni mdogo,mfano maradhi,ajali na mengineyo,

Kila binadamu anayo haki ya kuheshimiwa ndani ya jamii,
Ukitaka kuheshimiwa kwanza jiheshimu kisha heshimu wenzako.
 
Back
Top Bottom