Michael Augustine Lukindo


Unatuambia kwamba sababu za kukata mawasiliano ni nyingi sana na unakemea watu kuwa judgemental.

Halafu hapo hapo unamalizia kwa ku question mtu aliyekata mawasiliano.

Chagua moja, ama unaamua kutokuwa judgemental, ama unaanza ku judge watu na kusema huyu darini kumekaa au hakujakaa sawa.

You can't do both and not contradict yourself.
 
Wewe ni mfanyakazi wa foreign affairs? If so, you are so judgmental, full of assumpions, prejudicial and unprofesional.

Fanya kazi yako kwa weledi hata kama unawahudumia wanatia aibu. Otherwise, unaidhalilisha hata hiyo foreign affairs.




EMT, achana na huyo Lusungo ukisikia hater ni jamaa yeye na baadhi ya watanzania wenye chuki binafsi hawapendi watu wa nje imefikia hatua wanapinga Dual Citizenship kana kwamba itawapunguzia chakula ndani wakati wanaopewa ni watanzania walewale wanaoishi nje. Lakini wako tayari kushabikia shirikisho la Afrika mashariki wakenya, waganda na wanyarwanda waje kuhodhi ardhi kwetu na kuishi wala si tatizo lakini watanzania waliondoka nchini kwa njia zao kwenda kutafuta maisha wabaki hukohuko hawatakiwi kupata haki za nchi yao. Halafu wanajiita wazalendo, kwa lipi mzalendo hutetea haki ya mwenzake hata kama yeye haimnufaishi ndio maana tuna wanaharakati, watetezi wa haki za binadamu,waandishi wa habari kufahamisha watu na watoa misaada kwa huruma pia wanasiasa walio kwa ajili ya manufaa ya wengi sio kwa manufaa binafsi mfano Nyerere, Mandela, Nkrumah, Lumumba nk
 
Lusungo, yote unatakiwa uyafanyie kazi. Uko ubalozini, mteja amekuja, haiingii akilini aliomba asaidiwe nanyi mkakubali bila hata kuuliza mambo ya msingi. Huo utakuwa udhaifu wenu. Kiranga na EMT wako sahihi kuhoji will ya marehem.
 
Wakati anakula bata nyie wa USA au mke au watoto hamkujua kwao ni Lushoto na ana ndugu. mmeligundua hilo leo. Hii sio fundisho kwa Lukindo bali ni fundisho kwa ninyi wengine mlioko huko. Hata baathi yetu sisi tukaao Dar ambao hatuendi kwenye roots zetu kisa kula bata au kuoa mjini au kuogopa kurogwa...hii ni kwa ma Yego...au kina Msekwa
 
Kuna Mtangazi wa East Afraica Radio anaitwa Michael Lukindo ebu wanahabari muulizeni kama anamfahamu.
 
nimepata data zifatazo ambazo zitasaidia uchunguzi kwanza jamaa alikuwa na marafiki 36 Facebook na 38 wali like page yake sasa waangaliwe kama ni wabongo ili wafahamishwe. jamaa anandugu yake anaitwa David lukindo Washington DC na walikuwa wakifahamiana. kama VP atafutwe pia
 

Picha yake ni hii

View attachment 147234
 
Mkuu,at least mngekuwa mnajua anatokea Tanga sehemu gani kwa sababu hilo jina la Lukindo wapo weeengi wa koo tofauti,wazigua,wabondei.sasa huyo katokea Tanga ipi?

Mkuu mimi nipo hapa hapa bongo ila ni jamaa wa US waliniomba niulizie na ninajua kuwa jamii forum inasomwa na wengi labda kuna mtu atamjua
 
Kama yeye alisha wasahau ndugu wala hakutaka kuwakumbuka huyo hafai mwache achomwe .hana adabu
 
Kama hawaoni ndugu wa mume kwa nini ndugu wa mke wake wasimzike kuliko wamchome moto.
 
Kuna mwenzetu alienda usa tangia 89 mpaka leo hajarudi..aliwahi kupiga cm mwanzon mwa miaka ya 90.huku tz aliacha wtoto
 
.

RIP Mtanzania mwenzetu.
[/QUOTE]

Mtanzania ni nani?
 
Tatizo lako unapenda kutoa majibu mepesi kwa maswali mazito....

Mkuu nadhani wewe ndio unaonyesha umbululambulula kwenye hii mada! Mtu kakaa miaka thelathini bila mawasiliano na nduguze halafu amefariki unaanza kupigana vikumbo eti kumtafutia marehemu ndugu zake... does it make even a little sense?
 
Mtu gani dunia ya leo unashindwa kuwasiliana na ndugu zako.najua wagosi ni watu wanajali sana ndugu sijui huyu vipi.
 
Lusungo, yote unatakiwa uyafanyie kazi. Uko ubalozini, mteja amekuja, haiingii akilini aliomba asaidiwe nanyi mkakubali bila hata kuuliza mambo ya msingi. Huo utakuwa udhaifu wenu. Kiranga na EMT wako sahihi kuhoji will ya marehem.

Mh.... Hapa unataka kumbebesha mbwa mzigo wa gunia! Huyu ndugu yetu Lusungo anaonekana ni wale watu wanaokaa ofisini kama masanamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…