King'asti mie ujue nakumind sana misimamo yako ilivyo cut and dry.
Mie nikisema hapo juu msiba kama huu unaweza kuwapelekea wazee wengine wakakutukana.
Kuna daftari la Wafalme wa Mali (kama umepitia historia utajua habari za Mali/ Songhai/ Ghana kina Sundiata na Mansa Musa). Basi daftari hili lilizua mjadala baada ya wanahistoria kutaka kuchunguza rekodi ya Mfalme mmoja akiitwa Abu Bakr II. Huyu Abu Bakr II inasemekana alikaa na kuangalia bahari, akasema kama mnavyoona huu mto Niger una nchi kavu pande mbili, vivyo hivyo bahari hii ya Atlantic ina mwisho wake huko kuna nchi kavu. Akachukua msafara mkubwa sana na kujitia baharini. Akatokomea kwenda Marekani huko kabla ya Christopher Columbus. Yeye aliondoka circa 1311, akichukua vyombo 1000 alivyosheheni watu na vyombo vingine 1000 alivyosheheni bidhaa kochokocho, pamoja na dhahabu.
Katika utamaduni wa Mali ile ilikuwa ni kashfa. Mfalme kaacha watu wake. Wazee wakakubaliana kutoa jina lake kwenye rekodi za wafalme wa Mali. Ma griots wakamsema kama mtu tu aliyetokomea.
Na huyu alikuwa "explorer king" ambaye pengine hakutaka kutokomea kwa makusudi.
BBC walifanya documentary yake huyu mfalme a while back, an article is available here
Africa's 'greatest explorer'
BBC News | AFRICA | Africa's 'greatest explorer'
Halafu watu ukiwaambia kuna umuhimu wa kuchimba zaidi, kujua hata marehemu alitakaje, kabla ya kutafuta ndugu na kuzua dhahma huko. Wanaona unaleta ubishi.
Acha achomwe kama baniani.
Nyie mkifika huko hata mungu hamumjui.Maana inaonekana hataKanisani alikuwa ahudhurii.
Maana mie najua makanisa mengi ya huko waumini wake wanafahamika na ni rahisi kuzikw Kiimani.
Anachomwa hapa na Mungu anamsubir,atajua Faid ya kula bta na kumsaha Mungu.
Na Mbaya zaidi,watu wanaona kwamba wakifika huko hakuna kufa,na hata kusaidia ndugu zake angalau hata mmoja kumtoa kwa kumpeleka huko,kwa mika yote 30 aliyokaa huko eti hana ndugu.Nyambaafffffff huko ulipo
.Na kizazi chake ndio kimepotea kabisaa.Maana hao watoto ni wa mama.
Na nyie mnashindwa hata na baadhi ya makabila yana umoja wao katika mikoa ya hapa Bongo.Nyie mmekaa tu huko hata umoja wenu wa wa Tanzania hamna,mana lazima mngejua ndugu zake.
Wakati anakula maisha hakuwatafute,huo mzoga ndio ndugu watafutwe,mitoto mikubwa hiyo hata kwa baba yao haipajui.
Waambie kwa miaka hiyo 30 na huku ndugu zake wote wameishakufa.
Halafu naomba kesho kabla hajachomwa nenda kamfunue Umzabe kibao kimoja kwanza cha adabu.
Sababu hiyo naweza ikubali kwa asilimia chache sanaWengi hujisikia vibaya pale wanaporudi nyumbani na kukuta waliowaacha wamefanikiwa sana kimaisha hilo huwaumiza sana
Mwombeeni marehemu anachomwa moto leo
Rip Michael Lukindo
Maskini weee anachomwa moto kama baniani....
Watz wangemchangia tu apate sehemu ya kuzikwa nayeye kama matajiri
Simjui marehem lakini huu msiba umenigusa kwa namna fulani
RIP
Kwanini umekugusa mkuu?
I can't even explain
katika thread nilizokuta zina pages nyingi nikafuatilia toka kwanza hadi ya mwisho ni hii! Kiranga mbaaaaaya wewe!akili yako sijui huwa inawaza nini.una namna yako ya kufikiri ngumu kidogo lakini nzuri kwa mtu kujifunza kwayo!
tatizo tu ni kuwa unazidi kunivutishia bhange King'asti na vya kurithi huwa vinazidi!

You are far too kind.
King'asti anapata zile zinaitwa "herbal medicine tokes", usimvunjie heshima kwa kufuata mila na desturi zilizofuatiliwa tangu enzi za falme za kina Kabaka huko.
Kabaka kabla ya kukaa na baraza lake la mawaziri alikuwa anapata "meditation tokes" kwanza.
Nilikuwa nasoma kitabu cha historia ya familia ya Obama kimeenda deep mpaka 1200 huko kwenye historia ya Wajaluo, unaambiwa Wajaluo kupata hizi tokes kwao ilikuwa ni utamaduni, kwa sababu Africa kulikuwa hamna tobacco, tobacco is a foreign plant to Africa, imeletwa na meli. Sasa ile michoro yote ya mababu wanavuta viko kabla tobacco haijaletwa, walikuwa wanavuta nini?
Tatizo zile tokes zina vichwa vyake, kama kichwa chako hakiwezi usilazimishe.
Na King'asti akiamua kufanya traditional meditation with some moderation, I have no qualms with that.
Mbona hata wakulu wa majeshi, mawaziri, wabunge etc wanapata ile sakramenti yetu Africa?
Tatizo watoto wanaoifakamia bila kula na kupata uelewa wanaiharibu jina.
I can't even explain
Kumbe yeye mwenyewe alikuwa hana taim na ndugu zake sasa kwa nini watu waling'ang'ania apelekwe home?
Ikiwa familia yake haijui ndugu zake sisi yanatuhusu nini
DuhAcha achomwe kama baniani.